Hivi kwanini ukimueleza mtu mafanikio yako anakasirika?

Aisee
Mada nzima ni makasiriko ya wakulungwa
Umewavuruga..
Ila waulize , vipi ukiwa kila siku uanwaelezea shida zako jinsi unavyopigika watakavyofurahi kuchangia kwa unafiki huku wanakucheka kimyakimya....
 
Mbona shida huwa tunazisema na haiwi nongwa
Huwa ni nongwa ila huwa haugundui kwa sababu unakuwa umezongwa na mauzauza yako.
NB:Ukiwa kijiweni usimuongelee mtu kwa chochote wala kujiweka wazi kwa lolote.Tafuta hata stori za uongo na za kuchekesha zisizomuhusu wala kumuumiza mtu uhadithie.Ni bora uitwe zee la fiksi au bwana Maprosoo kuliko kujisifusifu tu.Ishi kisanii na komedi nyingi kuepesha maadui utakaowajua na waliojificha dhidi yako.
 
Umemaliza kila kitu.
 
Aisee
Mada nzima ni makasiriko ya wakulungwa
Umewavuruga..
Ila waulize , vipi ukiwa kila siku uanwaelezea shida zako jinsi unavyopigika watakavyofurahi kuchangia kwa unafiki huku wanakucheka kimyakimya....
Human nature
 
Kama ushajua hawapendi usiwaeleze.
 
Aisee
Mada nzima ni makasiriko ya wakulungwa
Umewavuruga..
Ila waulize , vipi ukiwa kila siku uanwaelezea shida zako jinsi unavyopigika watakavyofurahi kuchangia kwa unafiki huku wanakucheka kimyakimya....
Sijui kwanini watu hawapendi mafanikio ya wengine
 
jitahidi kutunza siri, jitahidi kuyaficha mambo yako… majitu mengi ni mashetani siku hizi. Utarogwa shauri yako
 
Ni watu wachache sana wanao penda mafanikio ya wat na so Kila mtu anapend ufanikiwe k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…