Jamii haijajengwa hivyo ni asili ya moyo wa binadamu mwenyeweKwanini jamii imejengwa kwa fikra kama hizo
Masikini hasidi hana sababuSasa jamii yetu ya kibongo ukimuelezea mtu mafanikio yako yawe makubwa au madogo hujawa na makasiriko na laana juu, kwanini?
Usieleze vyote.Chagua moja.Kwasababu nikiwa na shida pia huwa namuelezea
Usieleze mambo yako kwa wasiohusika.Ukikaa kijiweni jitahidi uwe msikilizaji zaidi kuliko muongeaji usiye na breki wala uchaguzi wa hoja.Hujawai kupiga story na mates kuhusu mafanikio?
Huwa ni nongwa ila huwa haugundui kwa sababu unakuwa umezongwa na mauzauza yako.Mbona shida huwa tunazisema na haiwi nongwa
Kua uyaone.Sijui kwanini
Kua uyaone Makebo makubwaKua uyaone.
Hiki ndio kitu alichoelezea mtoa mada mbona unaumia hata mtu humjui shida nini..[emoji3][emoji3] umetugeukia sisi tena, mafanikio ni yako, unayaelezea ili iweje? Wewe unajishtukia tu, hayo unayoita mafanikio usikute ni upuuzi tu!
Umemaliza kila kitu.Ukitaka akufurahie mweleze mafanikio yako huku ukionesha kuwa na yeye atanufaika na mafanikio yako.
Hebu tuulizane, nini lengo la kumueleza mtu mafanikio yako ikiwa hata hanufaiki na wewe na unakuta ana njaa! Je, ni kumrusha roho au kumuhamasisha?
Kwa mfano ukisema, aisee mwaka jana nimefanikiwa kufanya 1,2,3 na wewe naweza kukusaidia katika 1,2,3 unahisi kuna mtu atakasirikia mafanikio yako? Sasa wewe ni kujitapa tu mbele ya maskini kwa kuonesha mafanikio yako lakini ukiombwa msaada hutaki! Kwani ukikaa kimya na mafanikio yako kuna shida gani huku watu wakiona vitendo tu?
Human natureAisee
Mada nzima ni makasiriko ya wakulungwa
Umewavuruga..
Ila waulize , vipi ukiwa kila siku uanwaelezea shida zako jinsi unavyopigika watakavyofurahi kuchangia kwa unafiki huku wanakucheka kimyakimya....
Kama ushajua hawapendi usiwaeleze.Mafanikio hayana kipimo ila kila mtu na mafanikio yake kulingana na malengo aliyojiwekea
Sasa jamii yetu ya kibongo ukimuelezea mtu mafanikio yako yawe makubwa au madogo hujawa na makasiriko na laana juu, kwanini?
Mara ooh! Pesa ni za shetani tafuta ufalme wa Mungu, mara sijui pesa kazipata kwa magendo na njia za mkato alooh!!!?
Sijui kwanini watu hawapendi mafanikio ya wengineAisee
Mada nzima ni makasiriko ya wakulungwa
Umewavuruga..
Ila waulize , vipi ukiwa kila siku uanwaelezea shida zako jinsi unavyopigika watakavyofurahi kuchangia kwa unafiki huku wanakucheka kimyakimya....
Ni watu wachache sana wanao penda mafanikio ya wat na so Kila mtu anapend ufanikiwe kMafanikio hayana kipimo ila kila mtu na mafanikio yake kulingana na malengo aliyojiwekea
Sasa jamii yetu ya kibongo ukimuelezea mtu mafanikio yako yawe makubwa au madogo hujawa na makasiriko na laana juu, kwanini?
Mara ooh! Pesa ni za shetani tafuta ufalme wa Mungu, mara sijui pesa kazipata kwa magendo na njia za mkato alooh!!!?
Wabongo wanapenda kusikia matatizo ila mafanikio wanayachukia mno kwa sababu wengi wanasota..Yani sijui kwanini wanaumia wakisikia neno kufanikiwa au wanapenda wote tuwe masikini
Ila kuna wamama nao midomo yao haina staha… hupenda sana kuongea mambo ya watoto wake kwa ndugu na mashoga zake. Mbaya sana!Watu ni wanafki na hatupendani .....anayekupenda kwa dhati na anapenda mafanikio yako ni mama yako tu