Umefika Tabata ?Katika pitapita zangu za kutafuta riziki nimepita maeneo kadhaa hapa dar, lakini kinachonishangaza ni kuona maeneo ya Kivule na maeneo mengi ya Gongo la mboto barabara za mitaa hazijengwi kwa kiwango cha rami (zege) kama wafanyavyo maeneo mengine kama temeke, kigamboni, Ilala manicipal, Mbagala na maeneo mengi hapa mjini ambayo siwezi kuyataja yote
Sasa shida inaweza kuwa nini? Ufinyu wa mapato, uongozi au awamu yake haijafika?
Bora dar Kuna hayo hata Kwa majimbo, nilienda Mbeya , inasikitisha Kwa Kweli, nahisi siyo TanzaniaKatika pitapita zangu za kutafuta riziki nimepita maeneo kadhaa hapa dar, lakini kinachonishangaza ni kuona maeneo ya Kivule na maeneo mengi ya Gongo la mboto barabara za mitaa hazijengwi kwa kiwango cha rami (zege) kama wafanyavyo maeneo mengine kama temeke, kigamboni, Ilala manicipal, Mbagala na maeneo mengi hapa mjini ambayo siwezi kuyataja yote
Sasa shida inaweza kuwa nini? Ufinyu wa mapato, uongozi au awamu yake haijafika?
hajaja tabata huyo😀😀Nadhani hujafika kimara mkuu!
😀😀😀akifika atafuta uzi wake chapUmefika Tabata ?
Kivule mbona shega
Ujinga ni kwamba barabara nyingi za mitaa zinajengwa kwa kasi maeneo ambayo kuna vigogo au wafanyabiashara wakubwa tu.
Muda kidogo sipo huko, so sielewi kwa sasa nini kinaendelea.Bro unaijua Mbezi beach?
Muda kidogo sipo huko, so sielewi kwa sasa nini kinaendelea.
Hivi kwa mpemba lami imefikaKatika pitapita zangu za kutafuta riziki nimepita maeneo kadhaa hapa dar, lakini kinachonishangaza ni kuona maeneo ya Kivule na maeneo mengi ya Gongo la mboto barabara za mitaa hazijengwi kwa kiwango cha rami (zege) kama wafanyavyo maeneo mengine kama temeke, kigamboni, Ilala manicipal, Mbagala na maeneo mengi hapa mjini ambayo siwezi kuyataja yote
Sasa shida inaweza kuwa nini? Ufinyu wa mapato, uongozi au awamu yake haijafika?
Wakati wa jiwe maeneo yetuLami imeishia moshi bar maeneo mengi hamna lami
Sana yani ukitembea maeneo mengi yana lami/zege swali najiuliza kwanini iwe temeke isiwe kivule shida ni utofauti wa mapato, uongozi au wanaenda kwa zamu kwahiyo zamu ya kivule bado?Jimbo la Temeke wamejitahidi sana kujenga barabara za mitaa.