Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,215
- 1,594
Inashangaza..maana Temeke lami / zege hadi Barabara za mitaa lkn Kivule Barabara kuu hakuna lami. Sijui wanatumia kigezo gani!!Sana yani ukitembea maeneo mengi yana lami/zege swali najiuliza kwanini iwe temeke isiwe kivule shida ni utofauti wa mapato, uongozi au wanaenda kwa zamu kwahiyo zamu ya kivule bado?
Mitaa ya mafere nyuma ya mango garden na kinondoni bwawani kote zege tulipigiwaWapi huko mkuu
Ndiyo inatakiwa hivyo wakiamua wanaweza mbonaTemeke hadi vichochoroni kumewekwa zege
CCM wanazidi kutanua goal posts