Hivi kwanini ukiwa mahali alipo Rais Magufuli unajisikia amani sana!

ungekuwa umepotelewa na mwanao au nduguyo ama wamejeruhiwa na wanatembelea magongo kwa sababu za kisiasa nafikiri ungefurahia zaidi ya hapo na ungeipenda CCM milele.
 
Hizi post za watu waliokabidhi bongo zao kwa mwenyekiti wa chama zina chachafya sana.

Stupid post indeed!
 
Kama upo karibu Na Waziri, Mkuu Wa mkoa Au Wilaya basi Chukua Kifaa Cha Kupima Kiwango Cha Presha Nenda Kampime Kiongozi Yoyote.Nadhani Hapo Ndipo Utakapo Jua Kama Eneo Ulilopo Lina Amani Kweli Au Wahusika Wanaigiza Kuwa Amani.
 


Huyu Yohana Mbatizaji sijui kwa nn anajitoa ufahamu. Kwanza maneno yake yanasadifu kua hasadiki anachoongea. Kwamba anajiskia aman akiwa karibu na Magufuli. Kama mtu ni mwema kwa nn umpigie promo kuhusu wema wake? Si uache kizuri kijiuze chenyewe? Kwa nn kutembea mbele ukiitangaza nyeupe kua ni nyeupe? Si watu wanaona kua ni nyeupe? Ya nn kutumia nguvu kuitangaza?

Huyu anaetangazwa kwa nguvu kua ni mwema na nchi inaenda vizuri, mbona kila wanakogusa wanashindwa?
Wameua zao la Korosho, viwanda wanasema et hata chereha 5 ni viwanda, kodi lukuki, vitambulisho vya machinga, ajira hakuna, kampuni zmefunga (private sector) mfano fast jet, bureu de change, etc

Ufisadi umetamalaki, watu wanakufa, no democracy, etc,
Huo wema uko wapi?
Nguvu ya nn kutangaza wema?
Si waache wenyew tuone?

Huyu profesa wa international affairs anatwambia wana vita na mabeberu na hawataki misaada yao akijua sisi ni wajinga? What a fck?

Sometimes you have to surrender to serve your life..., kwa nn asiondoke?
Huruma ya nn?
johnthebaptist
 
Nimesikiliza hoja nyingi za wafanyabiashara kwa mtukufu raisi inaonyesha wabunge wetu tunaowachaguwa hawaendi bungeni kutetea wapiga kura wao ipasavyo malalamiko mengi kwa raisi yangepashwa yajadiliwe na bunge kupata uvumbuzi
 
Teh simu zote zinaachwa nje

Acha ujinga we jamaa


Mbona unatufanya wajinga sana
 


hapa kuna amani gani ?
 
Alafu nyi ndo mnajidai kupiga vita ushoga, watu makini tunajadili mifumo ya nchi iliyo paralyze (one man show) we unaleta habari za akina James Delicious,
 
mkuu mbona tupo wote hapa mbagala?
 
Nimesikiliza hoja nyingi za wafanyabiashara kwa mtukufu raisi inaonyesha wabunge wetu tunaowachaguwa hawaendi bungeni kutetea wapiga kura wao ipasavyo malalamiko mengi kwa raisi yangepashwa yajadiliwe na bunge kupata uvumbuzi
Ni kweli.

Wabunge wengi hawajui au hawafuatilii wajibu wao.

Lakini kuna baadhi ya wabunge wanasema sana, na hawasikilizwi.

Ukimsikiliza Mbunge kama Bashe utasikia anavyosema sana kuhusu mapungufu yaliyopo serikalini katika kujipanga kuongeza tija ya biashara.

Bashe huwa anaongea bungeni kama analala maktaba kufanya research kwenye bluebooks na kisha anawasiliana na watu sana kupata hali halisi.

Lakini sijasikia lolote la maana limefanywa baada ya kumsikiliza.

Angalizo: Sina ushabiki wa chama chochote au mtu yeyote. Natetea hoja.
 
Hivi unawezaje kuiweka akili kama ya Rugemalila au Manji iozee gerezeni miaka 2, yaani unaiweka gerezani akili kubwa alafu unaita wachuuzi ikulu.
 
. Kama ulifuata ikulu kukalia viti na kuhesabu mara ngapi unafika Ikulu lazima ujisikie amani. Wenzako waliofuata Ikulu mambo ya muhimu hawana amani mpaka rais atakapojibu hoja zao.
 
Unaweza kuwa na amani kwa kukaa karibu na mtekaji ,basi utakuwa una roho ngumu sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…