Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
kwa sababu analindwa na maguruneti na makomandoo. ati yupo vitani! ? sijui anapigana vita nanani? anatengeneza matatizo mwenyewe kisha anajaza makamera kujidai ana majawabu?!Nipo hapa Ikulu kwenye mkutano wetu sisi wafanyabiashara na mkuu wa nchi, kwa kweli najisikia amani sana.
Nimewahi kufika mahali hapa katika awamu zilizopita lakini safari hii najisikia amani zaidi kuwepo mahali hapa.
Ule wasiwasi na mashaka havipo kabisa yaani najihisi nipo mahali salama kabisa.
Mungu mbariki Rais Magufuli
Mungu wabariki wafanyabiashara
Mungu wabariki watanzania.
Amina!
Maendeleo hayana vyama!
AWALIPE KWANZA WALE WAKULIMA WA KOROSHO ALIOPORA KOROSHO ZAO!