Hivi kwanini ukiwa mahali alipo Rais Magufuli unajisikia amani sana!

Umeuaaaa! [emoji3]
 
Unaejisikia vizur ni wewe.
 
Umekaa na mungu wako unayemwabudu kwanini usiwe na amani
 
Nilikuona ulikuwa muoga mpaka umeamua kujifariji na hii mada... Ule ulinzi haukuwa wa kitoto kuanzia kupekuliwa mpaka matumizi ya simu... Sikuona hata mmoja akinyanyua simu pale ndani
 
Mnafiki mkubwa we we sijui upo unapalilia mahindi wapi!
 
Hahahaa......uchaguzi mdogo wa madiwani CCM yapita bila kupingwa katika kata zote zaidi ya 30!
 
Kwasababu watu wasiojulikana hawapendi kuja kwenye mikutano ya mkulu 😁😁
 
. Kama ulifuata ikulu kukalia viti na kuhesabu mara ngapi unafika Ikulu lazima ujisikie amani. Wenzako waliofuata Ikulu mambo ya muhimu hawana amani mpaka rais atakapojibu hoja zao.
Mbona hoja zote zimejibiwa mkuu!
 
Nilikuona ulikuwa muoga mpaka umeamua kujifariji na hii mada... Ule ulinzi haukuwa wa kitoto kuanzia kupekuliwa mpaka matumizi ya simu... Sikuona hata mmoja akinyanyua simu pale ndani
Kamanda unaelewa maana ya lunch break lakini?!
 
Uchaguzi una maana gani wakati CCM imeiba kura tangu kabla Tanzania haijawa na vyama vya upinzani?
Umenena vema maana hata 2020 inawezekana uchaguzi ukafanyika Zanzibar na Mbeya mjini tu!
 
Marekani ni Taifa lenye miundombinu ya usalama lakini imeshambulia tu..UNADHANI BUNDUKI NA VIFARU NDO USALAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…