Hivi kwanini ukiwa mahali alipo Rais Magufuli unajisikia amani sana!

kwa sababu analindwa na maguruneti na makomandoo. ati yupo vitani! ? sijui anapigana vita nanani? anatengeneza matatizo mwenyewe kisha anajaza makamera kujidai ana majawabu?!
AWALIPE KWANZA WALE WAKULIMA WA KOROSHO ALIOPORA KOROSHO ZAO!
 
Angepokea kijiti kutoka kwa Mwalimu, nchi ingepaa kiuchumi, JPM hoyeeeeeeee!
 
Du!!! Ukiwa karibu na mwanaume mwenzio anayeitwa mag....unajisikia amani! Hongera sana
 
Sidhan kama kuna mfanyabiashara mwenye ajili timamu na vigezo vya kuweza kufika ikulu na akawa na muda wa kufungua nyuzi JF tuna uzi wa kipuuzi kama huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…