Hivi kwanini viongozi wa CCM hawana hofu na Mungu ?

Mwanakulitafuta

Senior Member
Joined
Sep 11, 2024
Posts
144
Reaction score
277
Habari zenu,Kuna kitu huwa najiuliza sana na kujadili kichwani mwangu.Viongozi wa CCM inapofika kipindi cha uchaguzi hofu ya Mungu inaondoka kabisaa,wanaamini kuwa Mungu alieumba Mbingu na ardhi hawezi kuwafanya chochote.

Mimi nimeshiriki kusimamia uchaguzi toka 2010 lakini kila uchaguzi wao wanawaza dhuluma,na kuumiza watu. Mimi nilitegemea kilichomkuta Magufuli baada ya kusema yeye anataka ajulikane kama popular presdent.

Nakumbuka mwaka 2020 mkurugenzi wetu alituita wasimamizi wakuu wote halmashauri nzima na kusema lazima kila kituo kula zinatakiwe zianzie 95% na kweli tulifanya hivyo make tulikuwa tunafuatiliwa kwelilweli.

Namuona na Samia nae anataka hivyo wakati nje huko anajinasibu kama muungwana,mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu. Lakini kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi naona hofu ya Mungu anaiweka pembeni anawaza kukaa kwenye kiti kwa njia yoyote.

Yeye hawazi kuwa Mungu huyu anaejifanya anamhofu .Mimi nilidhani viongozi watajifunza lakini bado dunia imewatawala sana hawaamini kama watakufa. Kitendo cha kuendelea kuwakatalia wapinzani kubadilisha mifumo ya uchaguzi ni dhahiri wanataka waendelee kutulazimisha tuchane vibutu na kuweka tick kwa wahombea wao wa CCM.

Kama Raisi Samia anamuogopa Mungu na anajua ataulizwa siku ya kiama na huko kaburini ni bora angefanya hayo mabadiliko na akatenda haki.
 
Shauri yako ss tunaangalia matumbo yetu na maslahi tu,, vingine mtajua wenyewe
 
Mungu yupi kwa hao inzi wa kijani? wee ukiona mpka makamu wao wa rais kaomba poo ujue ni balaa mzee wa watu kaskutiiii kaona hapana bora ajitoe mapemaaaaa maana yanayofanyika ni kujipalilia mkaa tu mbele ya safari.
 
Haya mambo yanahitaji watu wenye akili na roho safi sana, likija suala la maslahi basi mambo mengi hubadilika ghafla.

How you do anything is how you do everything.
 
Kwahyo mkuu na wewe pia ulishiriki dhambi ya uchaguzi wa 2020?
 
IMG-20250412-WA0093.jpg
 
Habari zenu,Kuna kitu huwa najiuliza sana na kujadili kichwani mwangu.Viongozi wa CCM inapofika kipindi cha uchaguzi hofu ya Mungu inaondoka kabisaa,wanaamini kuwa Mungu alieumba Mbingu na ardhi hawezi kuwafanya chochote.

Mimi nimeshiriki kusimamia uchaguzi toka 2010 lakini kila uchaguzi wao wanawaza dhuluma,na kuumiza watu. Mimi nilitegemea kilichomkuta Magufuli baada ya kusema yeye anataka ajulikane kama popular presdent.

Nakumbuka mwaka 2020 mkurugenzi wetu alituita wasimamizi wakuu wote halmashauri nzima na kusema lazima kila kituo kula zinatakiwe zianzie 95% na kweli tulifanya hivyo make tulikuwa tunafuatiliwa kwelilweli.

Namuona na Samia nae anataka hivyo wakati nje huko anajinasibu kama muungwana,mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu. Lakini kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi naona hofu ya Mungu anaiweka pembeni anawaza kukaa kwenye kiti kwa njia yoyote.

Yeye hawazi kuwa Mungu huyu anaejifanya anamhofu .Mimi nilidhani viongozi watajifunza lakini bado dunia imewatawala sana hawaamini kama watakufa. Kitendo cha kuendelea kuwakatalia wapinzani kubadilisha mifumo ya uchaguzi ni dhahiri wanataka waendelee kutulazimisha tuchane vibutu na kuweka tick kwa wahombea wao wa CCM.

Kama Raisi Samia anamuogopa Mungu na anajua ataulizwa siku ya kiama na huko kaburini ni bora angefanya hayo mabadiliko na akatenda haki.
Mimi naona ni kwa sababu chama kina nguvu kuliko viongozi wa dini wanaowafundisha kumcha Mungu.
Nasema hivyo kwa sababu,ile kauli ya Nape aliyoitoa mkoani kagera kwamba ''unafanya haramau na baada ya hapo unaenda kutubu'' mh.rais alimuwajibisha,lakini sijui kiongozi wake wa dini kama alimwajibisha. Na hiyo haramu ikishapatikana viongozi wa dini wanaenda kufanya maombi wakimshukuru Mungu kwa kila jambo
,Nadhani nimekujibu.
 
Back
Top Bottom