Mwanakulitafuta
Senior Member
- Sep 11, 2024
- 144
- 277
Mungu yupi kwa hao inzi wa kijani? wee ukiona mpka makamu wao wa rais kaomba poo ujue ni balaa mzee wa watu kaskutiiii kaona hapana bora ajitoe mapemaaaaa maana yanayofanyika ni kujipalilia mkaa tu mbele ya safari.Habari zenu,Kuna kitu huwa najiuliza sana na kujadili kichwani mwangu.Viongozi wa CCM inapofika kipindi cha uchaguzi hofu ya Mungu inaondoka kabisaa,wanaamini kuwa Mungu alieumba Mbingu na ardhi hawezi kuwafanya chochote.
Mimi nimeshiriki kusimamia uchaguzi toka 2010 lakini kila uchaguzi wao wanawaza dhuluma,na kuumiza watu. Mimi nilitegemea kilichomkuta Magufuli baada ya kusema yeye anataka ajulikane kama popular presdent.
Nakumbuka mwaka 2020 mkurugenzi wetu alituita wasimamizi wakuu wote halmashauri nzima na kusema lazima kila kituo kula zinatakiwe zianzie 95% na kweli tulifanya hivyo make tulikuwa tunafuatiliwa kwelilweli.
Namuona na Samia nae anataka hivyo wakati nje huko anajinasibu kama muungwana,mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu. Lakini kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi naona hofu ya Mungu anaiweka pembeni anawaza kukaa kwenye kiti kwa njia yoyote.
Yeye hawazi kuwa Mungu huyu anaejifanya anamhofu .Mimi nilidhani viongozi watajifunza lakini bado dunia imewatawala sana hawaamini kama watakufa. Kitendo cha kuendelea kuwakatalia wapinzani kubadilisha mifumo ya uchaguzi ni dhahiri wanataka waendelee kutulazimisha tuchane vibutu na kuweka tick kwa wahombea wao wa CCM.
Kama Raisi Samia anamuogopa Mungu na anajua ataulizwa siku ya kiama na huko kaburini ni bora angefanya hayo mabadiliko na akatenda haki.
Mimi naona ni kwa sababu chama kina nguvu kuliko viongozi wa dini wanaowafundisha kumcha Mungu.Habari zenu,Kuna kitu huwa najiuliza sana na kujadili kichwani mwangu.Viongozi wa CCM inapofika kipindi cha uchaguzi hofu ya Mungu inaondoka kabisaa,wanaamini kuwa Mungu alieumba Mbingu na ardhi hawezi kuwafanya chochote.