Hivyo ulivyotaja vyote ni vinahitaji pesa.... Ila kudinya buku 5 umepata mbushsuAu labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu?
Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc na imewafanya kuwa positive sana.
Ila mzabzab pale atakapoenda beach ni labda anatafuta gume gume 🤣🤣
Sawa mkuu uko sahihiKama watu maisha yetu ndio haya hivyo vitabu vya futaha na beach tutafanya muda gani?!
View attachment 3278523
Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu?
Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc na imewafanya kuwa positive sana.
Ila mzabzab pale atakapoenda beach ni labda anatafuta gume gume 🤣🤣
[/QUOE]
Tatzo unataka kufananisha kfo na usingiz! Wale wanapesa walizo wekewa na mababu na mababu yy pekee awez maliza ndy maana wanatowa misaada na kula bata ebu w jarbu alaf ukute unapanga ujui hata hatma ya watto wako baadae,uspende kuiga ww kama ukoo wenu n wazee wa mitungi endeleza ndyo mising za familia zetu
Ujauzito ni kitu kibaya baba na mama yako wasingeNGONOKA ungewapo jf muda huu?!Sawa mkuu uko sahihi
Ila huyo akipona apunguze ngono sasa maana ARV hazipo.
Naomba link
Kwenda wapi Tena jmn 😢mzabzab chukua huyu mtoto