Lovelia de Valmorra
Senior Member
- Mar 14, 2025
- 132
- 182
baadhi ya Sababu kubwa ni hizi 1. Waafrika wengi they don't know who they REAL are, (hawafanyi self inquiry), mtu asiyejijua yeye ni nani anaishi kama zombie tu,anaelea. 2. Hizi dini ili kupata waumini zimewatoa kwenye kufocus inwards zikawaelekeza wafocus nje YAO wasijijue wao ni nani na potential waliyonayo ili waendelee kutumika dini ziendelee kuwa powerful organizations 3.Kwa sababu ya waafrika wengi kufocus nje yao kwa muda mrefu + conditionings nyingine (kifamilia,kitaifa,kisiasa,kikabila,umaskini,materialism nk)wanakosa CLARITY katika fikra zao na hivyo wanazidi kutokomea zaidi kwenye KUTOJIFAHAMU na kwenye mitego mbalimbali inayotaka kuwatumia mfano kibiashara,kisiasa. Pia kukosa clarity kunafanya wanazidi kuwa na maamuzi mabovu na wanazidi ku detach from themselves ndio maana wengi hawawezi meditation sababu wapo restless (body,mind and spirit) na hii ina lower the quality of their thoughts na the way of their THINKING .Wengi SANA wanafikiria mambo in a wrong way and/or narrow way and LOWER way ndio maana unakuta wengi wanaattack each other sababu HAWAJIJUI hivyo wanaamini mimi na wewe,sisi ni tofauti wakati we are ALL ONE.Na pia wanahusudu sana ngono na ulevi sababu wapo CONTROLLED na MWILI na ngono inatumika kama po*n tu maana haitoki rohoni (as a worship act,pure love) sababu wapo detached from themselves.YOTE HAYAyana wakeep TRAPPED kwenye kuhangaika sababu wamejikimbia,wamekimbia hazina ambayo ni ndani mwao (INNERSELF)na haya mahangaiko ndiyo yanapelekea wengi wanasema hawana muda wa kusoma vitabu,take a walk,kwenda kwenye nature,na vitu kama hivyo sababu in their DISTORTED MIND wanaamini mafanikio yanaanzia NJE yao yaani kwenda kutafta pesa,mihangaiko mbalimbali etc etc wakati mafanikio yanaanzia WITHIN. Na kwa sababu ni wengi wanaoamini hivi ,ile energy ya ule ujumla wao (collective consciousness) inazidi kuwadumisha humo humo kwenye fikra hizo miaka nenda rudi.Na pamoja na kuhangaika kote umaskini hauishi lakini wale wanaofanya uliyosema utajiri unaongezeka ,why because EVERYTHING start from WITHIN .The good news is hii inaweza kubadilika mtu akiamua !!Isorry jibu lefu😊Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu?
Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc na imewafanya kuwa positive sana.
Ila mzabzab pale atakapoenda beach ni labda anatafuta gume gume 🤣🤣