Hivi kwanini Waafrika wengi hatuja evolve katika kutafuta refreshment kirahisi kwa kusoma vitabu, walking therapy, MDT, etc bali ni mitungi na mikasi

Waafrika wengi tunapenda matokeo ya hapo kwa hapo tena ya kuonekana, ila kusoma vitabu na meditation ukifanya hata baada ya miezi sita unaweza usione mabadiliko yoyote kwako, hapo ndio muaafrika anaona anapoteza muda wake
 
Hakika

Nafikiri pia zaid, unakuta hajaikaribisha mindset mpya ndani yake.
 
Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu?

Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc na imewafanya kuwa positive sana.

Ila mzabzab pale atakapoenda beach ni labda anatafuta gume gume 🤣🤣
Africa Hatufany mambo ya msingi , yale yq msing tuliyazika na neno USASA.
Wenge wa Sisi wa African
Tunaish leo
Hatuna uwezo wa kujisimamia
Hatuna uwezo wakusimamia wengine
Tunaishi kama betting

Hatujawekeze kwenye key important issue for future sake kwa mfano hadi sasa mtu yuko 35+ Hajui tuu chakula anachokula kina faida gan kwake , na mazoez kwake yana faida kias gan
 
Huo muda unautoa wapi, ikiwa kila siku wanakutangazia nyumba ni choo, nawa mikono kabla ya kutoka choon. Kabla hata hujatimiza suala la kunawa mikono Mara spika inapita mtaani kutakuwa na tatizo la maji, wananchi tutumie vizuri maji.

Hujatulia vizuri unaletewa habari, USA imesitisha msaada kwa WHO, ARV zitakuwa mtihani kupatikana. Kwa stress hizo kitabu kinasomeka? Meditation inafanyika vipi?
 
Pesa ya kwnda kulewa nusu kreti unaitoa wapi
 
💪🏿💪🏿
Africa Hatufany mambo ya msingi , yale yq msing tuliyazika na neno USASA.
Wenge wa Sisi wa African
Tunaish leo
Hatuna uwezo wa kujisimamia
Hatuna uwezo wakusimamia wengine
Tunaishi kama betting

Hatujawekeze kwenye key important issue for future sake kwa mfano hadi sasa mtu yuko 35+ Hajui tuu chakula anachokula kina faida gan kwake , na mazoez kwake yana faida kias gan
 
Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu?

Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc na imewafanya kuwa positive sana.

Ila mzabzab pale atakapoenda beach ni labda anatafuta gume gume 🤣🤣
Uchaguzi tu.Umetoka darasani au ofisini kupambana na makaratasi halafu unaenda kujiburudisha kwa kusoma vitabu na kuandika makala?Kweli?
 
Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu?

Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc na imewafanya kuwa positive sana.

Ila mzabzab pale atakapoenda beach ni labda anatafuta gume gume 🤣🤣
Screenshot_20250321_140128_ReadEra.jpg
 
Back
Top Bottom