Hivi kwanini Waafrika wengi hatuja evolve katika kutafuta refreshment kirahisi kwa kusoma vitabu, walking therapy, MDT, etc bali ni mitungi na mikasi

Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.

Umasikini na ufukara uliokithiri, umepunguza uwezo wa kufikiri kwa waafrika wengi.

Watu wanaishi varuvaru tu.

Mijitu haitaki kujielimisha, kila kitu utasikia wakisema tunamwachia Mungu tu.

Na huyo Mungu hajawahi kuwasaidia kwa lolote.

Mijitu inazidi kudumaa kiakili kila kukicha.
 
Nchi yetu haitakaa kuja kubadilika kama watanzania tulio wengi hatutathamini kujisomea vitabu na kuanza kuandika. Maandishi yana nguvu kubwa sana kuliko kitu kingine chochote. Ila heshima yetu kwa maandishi bado ni ndogo sana
 

Kwahiyo unatushauri nini ili tusiendelee kudumaa kiakili? Halafu kwanini tunamlaumu Mwenyezi Mungu kwa mabo ambayo tunayafanya wenyewe kwa matashi yetu?
 
Its all lies kwenye culture ya mwafrika. Hatuja kuzwa wala kulelewa hivyo, na wale waliobahatika tabia zao zinakuwa different, wana hizo hobbies
 
Kwahiyo unatushauri nini ili tusiendelee kudumaa kiakili? Halafu kwanini tunamlaumu Mwenyezi Mungu kwa mambo ambayo tunayafanya wenyewe kwa matashi yetu?
Kwanza Mungu hayupo.

Ushauri mwingi ushatolewa na wadau wengi sana duniani kote.

Mifano ipo kama ya kina Profesa Patrick Otione Lumumba. Kila siku anaimba kuhusu waafrika na Afrika kwa ujumla.

Lakini hakuna kinacho tokea.

Mimi sina cha kushauri, Zaidi ya kusema kwamba waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
 

Kitu cha kushauriwa mwisho wa siku mtu binafsi ataamua mwenyewe. Unaposema watu wanasema hakuna Mungu, kumbuka pia dunia nzima wapo wengi wanakiri uwepo wa Mwenyezi Mungu.

Nilichojifunza, kila mtu anaiangalia dunia na mambo yake, kutegemea ni katika platform gani amesimama.

Kwenye hoja ya kusoma, kujifunza na kuwa na tamaa ya kupata ujuzi na maarifa, hatuwezi kukwepa kusoma vitabu. Hayo mengine ya kuabudu na kuamini, ni mambo ya kila mtu binafsi
 
Kitu cha kushauriwa mwisho wa siku mtu binafsi ataamua mwenyewe. Unaposema watu wanasema hakuna Mungu, kumbuka pia dunia nzima wapo wengi wanakiri uwepo wa Mwenyezi Mungu.
Sijasema, watu wanasema hakuna Mungu.

Nimesema hakuna Mungu.

Watu wengi kukiri uwepo wa Mungu sio uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu.

Hizo ni imani zao tu, zisizo na uthibitisho wowote ule wala uhalisia.
Waafrika hasa watanzania kwanza wengi hawajui kusoma wala kuandika.

Kuna wanaojua kusoma na kuandika kwa kiswahili tu ila ikija lugha ya kiingereza, chenga hakuna wanachojua.

Sasa taarifa nyingi na maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.

Vitabu vingi vyenye maarifa vipo katika lugha ya kiingereza.

Sasa hii ni changamoto kubwa kwa watanzania wengi.
 

Lugha ya kiingereza inatafasili. Ila kama wote hatuna muda wa kusoma na kuandika, nani atakayefanya kazi ya kutohoa ili watu wengi zaidi wasome?

Motisha ya kupenda kujisomea ilikuwepo miaka ya zamani. Kulikuwa na elimu ya watu wazima. Tulikosea kutohimiza ujenzi wa maktaba za kuhifadhia vitabu na kuruhusu watu wa rika na aina zote waweze kuvisoma.

Halafu sasa kuna technology...kusoma hivi vitabu kwa lugha yoyote sio ngumu kama zamani. AI ina nyenzo za kurahisisha maisha
 
🤣🤣🤣 vitabu unavyo soma kaka ni very complicated aisee
Sasa hicho kitabu cha fiction ushaona complicated?

Ningekuonesha "Philosophical Explanations" cha Robert Nozick ungesemaje?

Ningekuonesha "The Road to Reality: A Complete Guide to the Laws of the Universe" cha Sir Roger Penrose ungesemaje?
 
Sasa hicho kitabu cha fiction ushaona complicated?

Ningekuonesha "Philosophical Explanations" cha Robert Nozick ungesemaje?

Ningekuonesha "The Road to Reality: A Complete Guide to the Laws of the Universe" cha Sir Roger Penrose ungesemaje?
Hivyo havina shida kwa sababu vipo interestingly. Mambo ya universe huwasisimua watu wengi
 
Nimeweka uzi wa kutangaza kitabu kipya cha Gurnah, "Theft".

LIKUD kaniambia napenda sana kuji stress.

Hiyo ndiyo mentality ya baadhi ya watu.
Upo sahihi vitabu vinavyoonekana complex machoni kwa watu kuvielewa mimi ndio huwa navifagilia sana.
 
Probably tupo kwenye process still! Mzee Mtikila (RIP) Alisema bado tuna unyani haujaisha huenda ni kweli ukitazama tunayofanya critically na degree zetu. Hatufanani na binadamu wengine wa mabara mengine
 
Probably tupo kwenye process still! Mzee Mtikila (RIP) Alisema bado tuna unyani haujaisha huenda ni kweli ukitazama tunayofanya critically na degree zetu. Hatufanani na binadamu wengine wa mabara mengine
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Marhabaa nimefurahi uliposema hata wao wanashiriki hizi starehe zetu Tena wana Mambo mazito zikiwemo huduma za masaa 24 si haba unakuta kundi la watu watatu mpaka wanne wakishiriki tendo la faragha kwa wakati mmoja, pombe zanywewa haswaaa Wala hatuwafikii, madawa ya Kila aina ya kusisimua mwili wanatumia haswa vijana. Jinsia moja, kamari, mashine ama roboti za mahaba. Bado hata robo hatujawafikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…