Lovelia de Valmorra
Senior Member
- Mar 14, 2025
- 132
- 182
baadhi ya Sababu kubwa ni hizi 1. Waafrika wengi they don't know who they REAL are, (hawafanyi self inquiry), mtu asiyejijua yeye ni nani anaishi kama zombie tu,anaelea. 2. Hizi dini ili kupata waumini zimewatoa kwenye kufocus inwards zikawaelekeza wafocus nje YAO wasijijue wao ni nani na potential waliyonayo ili waendelee kutumika dini ziendelee kuwa powerful organizations 3.Kwa sababu ya waafrika wengi kufocus nje yao kwa muda mrefu + conditionings nyingine (kifamilia,kitaifa,kisiasa,kikabila,umaskini,materialism nk)wanakosa CLARITY katika fikra zao na hivyo wanazidi kutokomea zaidi kwenye KUTOJIFAHAMU na kwenye mitego mbalimbali inayotaka kuwatumia mfano kibiashara,kisiasa. Pia kukosa clarity kunafanya wanazidi kuwa na maamuzi mabovu na wanazidi ku detach from themselves ndio maana wengi hawawezi meditation sababu wapo restless (body,mind and spirit) na hii ina lower the quality of their thoughts na the way of their THINKING .Wengi SANA wanafikiria mambo in a wrong way and/or narrow way and LOWER way ndio maana unakuta wengi wanaattack each other sababu HAWAJIJUI hivyo wanaamini mimi na wewe,sisi ni tofauti wakati we are ALL ONE.Na pia wanahusudu sana ngono na ulevi sababu wapo CONTROLLED na MWILI na ngono inatumika kama po*n tu maana haitoki rohoni (as a worship act,pure love) sababu wapo detached from themselves.YOTE HAYAyana wakeep TRAPPED kwenye kuhangaika sababu wamejikimbia,wamekimbia hazina ambayo ni ndani mwao (INNERSELF)na haya mahangaiko ndiyo yanapelekea wengi wanasema hawana muda wa kusoma vitabu,take a walk,kwenda kwenye nature,na vitu kama hivyo sababu in their DISTORTED MIND wanaamini mafanikio yanaanzia NJE yao yaani kwenda kutafta pesa,mihangaiko mbalimbali etc etc wakati mafanikio yanaanzia WITHIN. Na kwa sababu ni wengi wanaoamini hivi ,ile energy ya ule ujumla wao (collective consciousness) inazidi kuwadumisha humo humo kwenye fikra hizo miaka nenda rudi.Na pamoja na kuhangaika kote umaskini hauishi lakini wale wanaofanya uliyosema utajiri unaongezeka ,why because EVERYTHING start from WITHIN .The good news is hii inaweza kubadilika mtu akiamua !!Isorry jibu lefu😊Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu?
Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc na imewafanya kuwa positive sana.
Ila mzabzab pale atakapoenda beach ni labda anatafuta gume gume 🤣🤣
Kitabu cha Roger Penrose "The Road to Reality: A Complete Guide to the Laws of the Universe" kina kurasa 1100, kati ya hizo, 383 za mwanzo ni yale mahesabu yenye alama za kigirikigiriki tupu.Hivyo havina shida kwa sababu vipo interestingly. Mambo ya universe huwasisimua watu wengi
Kama kitu unakipenda hakina shida. Ninesoma " Ptolemy's Almagest" ni mahesabu matupu mwanzo mwisho but I read it kwa sababu nilikuwq interested kujua alicho kuwa anakiwaza.Kitabu cha Roger Penrose "The Road to Reality: A Complete Guide to the Laws of the Universe" kina kurasa 1100, kati ya hizo, 383 za mwanzo ni yale mahesabu yenye alama za kigirikigiriki tupu.
Bado hakina shida?
Sasa unalinganisha hesabu za 150 AD na hesabu za Roger Penrose?Kama kitu unakipenda hakina shida. Ninesoma " Ptolemy's Almagest" ni mahesabu matupu mwanzo mwisho but I read it kwa sababu nilikuwq interested kujua alicho kuwa anakiwaza.
Yes kwa sababu Ptolemy alikuwa anapiga hesabu zake kwa kufanya observation. Roger Penrose alienda shule rasmi.Sasa unalinganisha hesabu za 150 AD na hesabu za Roger Penrose?
Ptolemy alikosea dhana za concentric cycles.Yes kwa sababu Ptolemy alikuwa anapiga hesabu zake kwa kufanya observation. Roger Penrose alienda shule rasmi.
You can't compare Greece with England when it comes to Mathematics
Kukosea ni Jambo la kawaida Sana kwa mtu anejaribu kutafuta Malibu ya maswali magumu kwa kutumia observation. Kupitia makosa yake watu waliweza kupata majibu ya maswali muhimu kuhusu dunia yetu.Ptolemy alikosea dhana za concentric cycles.
He has been relegated to the dustbin of the history of science.
Ni kati ya watu ambao dhana zao muhimu zimetupiliwa mbali.
Ni kweli. Kama Dar mtu unaweza kusema kabisa starehe kubwa ni kunywa, kula, na sex. Usomaji wa vitabu hakuna kabisa. Uangaliaji wa TV nao umekuwa kama janga kwa sababu vipindi vingi vya kiswahili quality yake siyo nzuri.Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu?
Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc na imewafanya kuwa positive sana.
Ila mzabzab pale atakapoenda beach ni labda anatafuta gume gume 🤣🤣
Kipenyo cha dunia kilishajukikana siku nyingi sana na Eratosthenes kabla ya Ptolemy.Kukosea ni Jambo la kawaida Sana kwa mtu anejaribu kutafuta Malibu ya maswali magumu kwa kutumia observation. Kupitia makosa yake watu waliweza kupata majibu ya maswali muhimu kuhusu dunia yetu.
Makosa yake pia yalishangaza mfano kwa kutumia observation aliweza kucalculate kipenyo cha dunia na alikosea kwa point chache Sana. Kwa method alizo tumia na nyakati alizo ishi bado nitamuweka kwenye daraja la juu Sana miongoni mwa wanasayansi walio wahi kuishi juu ya sayari ya dunia.
hakuna semi zinakera kama hiyo ya tunamwachia MUNGU NA ule wa shetani alinipitia. watu wako irresponsible wapo usingizini kabisaWaafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
Umasikini na ufukara uliokithiri, umepunguza uwezo wa kufikiri kwa waafrika wengi.
Watu wanaishi varuvaru tu.
Mijitu haitaki kujielimisha, kila kitu utasikia wakisema tunamwachia Mungu tu.
Na huyo Mungu hajawahi kuwasaidia kwa lolote.
Mijitu inazidi kudumaa kiakili kila kukicha.
thinking yao iko distorted ndio maana wanawaza kusoma ni kujistress wakati ni kurelax maana you move into another world. ni concept ngumu kugrasp sababu they are outside themselves,sad to sayNimeweka uzi wa kutangaza kitabu kipya cha Gurnah, "Theft".
LIKUD kaniambia napenda sana kuji stress.
Hiyo ndiyo mentality ya baadhi ya watu.