Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Yani mtu anaamini ukifanya kazi za ofisini ndio utakuwa una pesa na maisha mazuri, mfano wa kazi hizo iwe profesional; udaktari, ualimu, afisa sijui nini na nini nk, au ofisi za kibiashara iwe duka, cash points nk
Katika mihangaiko yangu kuna deals nafanya tofauti na kaduka kangu ka kuuza accesories, kiukweli hizo deals zinanilipa sana na hamna mambo za TRA wala tozo ila ndio hivyo tena kuchakaa lazima
Basi jana nakutana na mtu ambae ni mteja wangu kitambo hicho hapo dukani anauliza "mkuu imekuaje umeshuka kiasi hiki hadi kufanya izi mishe pale dukani umefirisika". Nikamjibu ndio kiongozi mtaji umeshuka
But why this mentality