Don't be bothered, do you.I don't care man
Ni extra work ni mbali na ofisi kabisa but why
Kwakweli ili uibe pia lazma uwe kitengo cha upigajiSasa ukiwa mwzi utaiba yale makaratasi?
Kwa mfano masijala, utaiba nini?Kwakweli ili uibe pia lazma uwe kitengo cha upigaji
I grew up with completely different thoughts, nilikuwa nimepania either niwe pilot au niwe Mafia Kingpin.Watu wanapenda white color jobs, kazi ambazo ukiamka asubuhi mama ataandaa nguo zako vizuri na tai safi kabisa, kijana ameshafuta gari linanguruma kukusubiri, afike ofisini akae kwenye kiti cha peke yake kwa ofisi yake mwenyewe...that's what most of us imagine while growing up.
Unapanga kuwa mafia? sasa si itakua kama unaigiza?I grew up with completely different thoughts, nilikuwa nimepania either niwe pilot au niwe Mafia Kingpin.
Novels kama Godfather au The Valachi Papers zilini-inspire nikiwa O-Level nikayapenda maisha yake mpaka niko chuo nasomea Engineering nilishapanga kuja kuwa Mafia Don.
Nimeishi maisha hayo Europe, nimekula pakee sana na visanga vingi mpaka nikahamia Canada. I'm a full-time Mafioso, yale maisha mnayoyaona kwenye muvi ninayaishi na wife anajua kuwa mumewe ni kocha-mchezaji now 22yrs ndani ya ndoa hivyo hata akisikia bomu lolote hashangai na mzigo ukiingia pia hashangai.Unapanga kuwa mafia? sasa si itakua kama unaigiza?
Mafia are born not modeled...
Mkuu, siku hizi watu wana matatizo ya afya ya akili. Usishangae mkuu.Are you okay man?
Unajali sana watu wanasema nini kuhusu wewe?
Au Mshindani anakuumiza akili??