Hizo kazi ambazo sio za ofisini ni zipi? Za kutumia nguvu? anyway, Cha muhimu usitegemee shughuli moja.Yani mtu anaamini ukifanya kazi za ofisini ndio utakuwa una pesa na maisha mazuri, mfano wa kazi hizo iwe profesional; udaktari, ualimu, afisa sijui nini na nini nk, au ofisi za kibiashara iwe duka, cash points nk
Katika mihangaiko yangu kuna deals nafanya tofauti na kaduka kangu ka kuuza accesories, kiukweli hizo deals zinanilipa sana na hamna mambo za TRA wala tozo ila ndio hivyo tena kuchakaa lazima
Basi jana nakutana na mtu ambae ni mteja wangu kitambo hicho hapo dukani anauliza "mkuu imekuaje umeshuka kiasi hiki hadi kufanya izi mishe pale dukani umefirisika". Nikamjibu ndio kiongozi mtaji umeshuka
But why this mentality
Sababu ni Moja tuu.RUSHWA na ubadhirifuYani mtu anaamini ukifanya kazi za ofisini ndio utakuwa una pesa na maisha mazuri, mfano wa kazi hizo iwe profesional; udaktari, ualimu, afisa sijui nini na nini nk, au ofisi za kibiashara iwe duka, cash points nk
Katika mihangaiko yangu kuna deals nafanya tofauti na kaduka kangu ka kuuza accesories, kiukweli hizo deals zinanilipa sana na hamna mambo za TRA wala tozo ila ndio hivyo tena kuchakaa lazima
Basi jana nakutana na mtu ambae ni mteja wangu kitambo hicho hapo dukani anauliza "mkuu imekuaje umeshuka kiasi hiki hadi kufanya izi mishe pale dukani umefirisika". Nikamjibu ndio kiongozi mtaji umeshuka
But why this mentality
FiYani mtu anaamini ukifanya kazi za ofisini ndio utakuwa una pesa na maisha mazuri, mfano wa kazi hizo iwe profesional; udaktari, ualimu, afisa sijui nini na nini nk, au ofisi za kibiashara iwe duka, cash points nk
Katika mihangaiko yangu kuna deals nafanya tofauti na kaduka kangu ka kuuza accesories, kiukweli hizo deals zinanilipa sana na hamna mambo za TRA wala tozo ila ndio hivyo tena kuchakaa lazima
Basi jana nakutana na mtu ambae ni mteja wangu kitambo hicho hapo dukani anauliza "mkuu imekuaje umeshuka kiasi hiki hadi kufanya izi mishe pale dukani umefirisika". Nikamjibu ndio kiongozi mtaji umeshuka
But why this mentality
Mfumo huo ni mentality za wazazi waaliokuzaa ukiwaletea mfumo mpya wanakushangaa na hawaelewi mfumo wako utafanyaje kazi elewa kwamba kuna kizazi cha 1910 mpaka 1950 kinaishi mpaka sasa usishangae bado kipo sasa hizo mentality zinatokea humoYani mtu anaamini ukifanya kazi za ofisini ndio utakuwa una pesa na maisha mazuri, mfano wa kazi hizo iwe profesional; udaktari, ualimu, afisa sijui nini na nini nk, au ofisi za kibiashara iwe duka, cash points nk
Sasa ukiwa mwzi utaiba yale makaratasi?Ofisini ili umake uwe rank ya juu au uwe mwizi.
Wala sio Uongo, sina hela Mzee we hujui Tu, wewe unadhani ni za ualimu na uuguzi ndio shida yakoYani mtu anaamini ukifanya kazi za ofisini ndio utakuwa una pesa na maisha mazuri, mfano wa kazi hizo iwe profesional; udaktari, ualimu, afisa sijui nini na nini nk, au ofisi za kibiashara iwe duka, cash points nk