Hivi kwanini wahitimu wa Udom wanapata ajira sana

Hivi kwanini wahitimu wa Udom wanapata ajira sana

kiukweli UDOM kwasasa wapo vizuri sana kuwajenga wanafunzi wao kukabiliana na soko la ajira, ila nataka niwaambie kitu vijana wenzangu soko la ajira siku hizi haliangalii chuo ulichosoma, ni competency yako katika fani husika hivyo tujijengee uwezo kwanza
 
Maneno ya kujifariji hayo hata kwenye kanga yapo tatizo watu wana inferiority na vyuo walivisoma jikubalini munaweza na juhudi.za mtu binafsi ku seek knowldge ndo muhimu hayo ya mifano ya uongo haina tija
 
Jamani badala ya kufikiri kuanzisha ajira watu mnaanza ongelea vyuo hivi ni bora kuliko kile, chuo si bora bali watu wanaosoma ndio bora wanauweza wa kupambanua mambo ndio maana wanapata ajira
 
Ni dhahir kwamba UDOM ya sasa hv imebadilika kwa kiasi kikubwa sana nikiwa kama mwanafunzi wa pale UDOM sasa HV inazalishwa watu wenye uwezo unaohitajika. Hii ni matokeo ya review curriculum ambayo yamekuwa yakiendelea kufanyika ili kuhakikisha kwamba uwezo bora unaohitajika Na waajili mbalimbali hasa mwajiri mkubwa ambaye ni serikali unafikiwa. Wapo ambao wanasema kile chuo ni cha kisiasa kwahiyo hata ajira wanabebwa kwa sura ya chama tawala lakini ukweli ni kwamba lazima ukubali mabadiliko ili uweze kubadilika. hili ni tatizo kubwa sana kwa ndugu zetu wachache ambao uwezo wao wa kufikiri ni mdogo ambao wanashindwa kutambua uwepo wa UDOM kama chuo kikuu
 
Soko la ajira la nje ya nchi halina biases like here in Tanzania, waacheni vijana watafute mkate wa kila siku na tukumbuke ni wenzetu hawa. well done guys from Udom na ninyi wa vyuo vingine wivu wa nini??
 
Achaga uongo mr. Mbona unakua kama first year na tabia zao za kushindanisha vyuo? Na nina uhakika kabisa wewe utakua first year na g.p.a yako ya 2.8 first semister
 
Hakuna chuo kina wanafunzi mambulumundu na empty headed kama UDOM..labda ajira za gesti
 
Pigeni sana majungu mwisho Wa siku mtatulia. Niko kazini(serikalini) na vijana wa UDOM mwaka wa pili sasa tangu waajiriwe, vijana wanapiga kazi sana wako vizuri, reasoning za kutosha hadi wakongwe kazini wana appreciate.
Waajiri hawaangalii umesoma chuo gani bali unanini kichwani?
 
Nyie majamaa wote ni vilaza sasa unaposema kwamba vijana wa Udom wapo ofisini kwetu sijui mwaka wa ngapi sasa hivi wanapiga kazi nzuri, reasoning blah blah blah enh na mwishoni unasema waajiri hawaangalii chuo ulichosoma bali competence or whatever hapo sasa unakua umeongea nin?? Maaana jina la chuo ushalibeba na kadhalika....point ya msingi ni kuonesha uwezo kwamba ukipewa kazi utaweza ifanya vizuri...haijalishi umetokea chuo gani wala nin...
 
We kigogo,nenda ka reseat advance halaf uombe tena,najua uliomba ukakosa &kujenga chuk yakudum.pole .UDOM!IKO POWA SANA
 
udom ya sasa si kama ya zamani,,watu wako serious sana
 
Back
Top Bottom