Hivi kwanini wahitimu wa Udom wanapata ajira sana

Hivi kwanini wahitimu wa Udom wanapata ajira sana

Udom wako vema sana...kama huamini nenda World Vision..USAID..KOICA..ofisi ya waziri mkuu na n.k...uulizie utendaji wao...nyie endeleeni kubaki na majina ya vyuo kwa sifa za enzi za mwalimu

Sikuhizi kuajiriwa hadi uwe na kadi ya chama chauli zenu mtashangaa tu.
 
nikwel achen kuponda 2.. Wale wapo kimaxomo zaid .. Wa udsm na vingne wapo ki bata zaidi.. Wa udom wanaj2ma eg wanajitolea kuongeza experience.. Saivi hatuangalii umetoka cjui chuo chenye jina kama udsm,2naangalia experience yako kuwa kwaiyo 3or 4 year ulichosoma na kukipractice au ulienda kuuza sura na kutafuta mapenz
 
Ni dhahir kwamba UDOM ya sasa hv imebadilika kwa kiasi kikubwa sana nikiwa kama mwanafunzi wa pale UDOM sasa HV inazalishwa watu wenye uwezo unaohitajika. Hii ni matokeo ya review curriculum ambayo yamekuwa yakiendelea kufanyika ili kuhakikisha kwamba uwezo bora unaohitajika Na waajili mbalimbali hasa mwajiri mkubwa ambaye ni serikali unafikiwa. Wapo ambao wanasema kile chuo ni cha kisiasa kwahiyo hata ajira wanabebwa kwa sura ya chama tawala lakini ukweli ni kwamba lazima ukubali mabadiliko ili uweze kubadilika. hili ni tatizo kubwa sana kwa ndugu zetu wachache ambao uwezo wao wa kufikiri ni mdogo ambao wanashindwa kutambua uwepo wa UDOM kama chuo kikuu

hapo kwenye RED umetudhihirishia product ya UDOM isivyokuwa makini
 
Mi nashauri tuhame katika kusaka mbinu za kupata ajira na tujipange kujiajiri zaidi,fikra za kujiajiri tuzipande sana kwa watoto wetu,na tuwape sifa na zawadi kila wanapoonesha uwezo wa kuwa wadadisi na kuwa na mbinu za kujiajiri,ukitaka kufa masikini waza kuajiriwa na ukitaka kuwa tajiri waza kujiajiri kwani kuajiriwa ni sawa na mfungwa isipokuwa unakuwa mfungwa wa nje.
 
naona hyo kijana hajielewi, anajua maana ya mbumbumbu au amekariri maisha ,kijana dunia imebadilika
 
Udom chuo cha kata ndo wanaongoza kwa GPA chafu chafu wengi wao wana range 2. 5 ad 2.8 nina evidence

Ujinga ni pale unapoenda kusoma bachelor of arts in drinking water UDSM na unajilinganisha na MD wa UDOM

Nyie vijana hata chuo hamjafika ila mbwembwe mingi sana na vicommunity development vyenu
 
Back
Top Bottom