Hivi kwanini wahitimu wa Udom wanapata ajira sana

Ujinga ni pale unapoenda kusoma bachelor of arts in drinking water UDSM na unajilinganisha na MD wa UDOM

Nyie vijana hata chuo hamjafika ila mbwembwe mingi sana na vicommunity development vyenu
Huyo naye anayesoma MD huko UDOM hajielewi.
 
hapo kwenye RED umetudhihirishia product ya UDOM isivyokuwa makini
Kama ningepangwa UDOM baada ya Six ningekaa tu nyumbani nisubiri next year of Application.

UDOM Hapana kwakweli.
 
UDSM hawasomi ***** kama ww sema unasoma au ulisoma kule chuo cha kata na hapa unajaribu kuwapa ***** wenzako moyo kwamba dhamani ya mkaa ni bora kuliko dhahabu. Afu pili jifunze kuandika kiswahili kwa ufasaha.yangu ni hayo tu mkuu *****[emoji108] [emoji108]
 
Ey
Bila samahani mkuu maana umemfumbua akili huyu ***** wa udom anayejivika ngozi ya chuo cha taifa
Et chuo cha taifa !!mhu !!yaaan umebahatika kusoma udsm ndyo unajiona !!!!!mung anakuona
 
Ujinga ni pale unapoenda kusoma bachelor of arts in drinking water UDSM na unajilinganisha na MD wa UDOM

Nyie vijana hata chuo hamjafika ila mbwembwe mingi sana na vicommunity development vyenu
Kama MD yenu ingekuwa bora msingefungiwa kudahili wanafunzi na tcu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa mtaji wa kujiajiri utapata wapi ukiwa ni fresh from school???
 
Ukitaka kujua MAKAO MAKUU university ni zigo la nnnya tizama wahitimu wa chuo pendwa toka chuo cha stendi moro wanavyokimbilia/ nyapia nyapia huko hutawakuta anaenda MUHAS Au UDSM au SUA wote utawakuta hukoo CDA
 
Ahahaha chuo ni chuo tu,kama una uwezo mdogo utapataje kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…