Hivi kwanini walimu watoto wao wasisome bure chuo kikuu yaani isiwe mkopo.

idiomer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
289
Reaction score
342
Walimu wanamchango mkubwa sana kwa taifa. Imagine mwalimu anafundisha madarasa mangapi ? Let say kafanya kazi miaka 15, watu kibao wamepita katika mikono yake.

Fikiria mwanajeshi ana mambo mengi ya kumpa ahueni kwanza nauli halipi. Pia hata bank riba za mikopo ni ndogo. Pili wanaposho kila baada ya wiki 2.

Madaktari wao wana posho nyingine mbali na mishahara.
Mwalimu hana chochote hata nauli ya likizo anakopwa??? Yaan ni kama basi tuu athaminiki.

Hata wakati wa kujenga shule wanaanza na madarasa halafu darasa moja linakua ofisi ya walimu.
Yaan wanadharaulika. Anaweza itwa sehemu nauli ni yake chakula ni chake. Na ni kazi ya serikali. Pia anafanya kazi muda mwingine. Hata masaa 11 ila halipwi per diem .

Kuna namna mwalimu amesahaulika. Na hii haileti afya kufanya walimu muda mwingi kuendesha bodaboda au kwenda ofisini na pikipiki.. nimeshuhudia hadi mwalimu anapata ajali ya pikipiki akiwahi kazini..inashindikana nini hata kuwakopesha magari kwa riba nafuu au bila riba kila mwaka walimu hata 10 kwa halmashauri???

Tutaenda hivi mpaka lini tunahitaji viongozi wa mageuzi sio Business as usual?

Nawasilisha kwa uchunguuu
 
Walimu ndio wanaongoza kwa kuonewa na serikali ya CCM
 
Ukiona ajira uliyonayo haikulipi unaacha unaenda panapolipa,
Watanzania mamilioni hawana hata hicho kimshahara cha mwalimu unataka upewe uspecial, yaani mwalimu ukajifananishe na daktari na mwanajeshi, like seriously!!!!
 
Walimu wanajidekeza sana kutwa kulia lia,kwanza wana muda wa kutosha kufanya shughuli za uzalishaji mali tofauti na kada nyingine.
Wana likizo nyingi kuliko kada yoyote ile,wana muda mchache kukaa kazini kuliko kada yoyote ile,chaguzi zote wao ndio wanapewa kipaumbele,200/500/1000 za wanafunzi wanachukua wao lakini kila siku kulalamika.
 
Kwani mwanajeshi anakitu gani acheni kukariri maisha. Mwalimu anamchango mkubwa sana. Wewe umefundishwa na wanajeshi?
 
Walimu wanajidekeza sana kutwa kulia lia,kwanza wana muda wa kutosha kufanya shughuli za uzalishaji mali tofauti na kada nyingine.
Wana likizo nyingi kuliko kada yoyote ile,wana muda mchache kukaa kazini kuliko kada yoyote ile,chaguzi zote wao ndio wanapewa kipaumbele,200/500/1000 za wanafunzi wanachukua wao lakini kila siku kulalamika.
Tumewachoka bhana kila siku wao tu,
Waache hiyo kazi wakaajiriwe kwenye sekta zenye mishahara minono,
Eti watoto wao wasomeshwe vyuo vikuu bure bila mikopo, hahahahaha hiki ni kituko!
 
Walimu washenzi kabisa.wanaua wanafunzi kwa fimbo.Nimeumia sana kusikia mwanafunzi wa darasa la sita kauliwa na walinu sita kwa kumchapa fimbo kwa kupokezana hadi natamani niwafuate nikawapige makonde hawa washenzi.Walimu wamekosa adabu na misingi ya kazi.Kwa ushenziwanaoufanya wa kuua wanafunzi kwa ujinga wao nashauri wazidi kupunguziwa mshahara badala ya ilivyo sasa.Maana hawana faida
 
Walimu wanajidekeza sana kutwa kulia lia,kwanza wana muda wa kutosha kufanya shughuli za uzalishaji mali tofauti na kada nyingine.
Wana likizo nyingi kuliko kada yoyote ile,wana muda mchache kukaa kazini kuliko kada yoyote ile,chaguzi zote wao ndio wanapewa kipaumbele,200/500/1000 za wanafunzi wanachukua wao lakini kila siku kulalamika.
Ni sahihi ila wakifanya hizo kazi mwanao atafundishwa ipasavyo????
 
Kwani kuna shida gani walimu hawana posho yoyote. Kwani wakipewa kuna shida gani watoto wao kusoma buree. Muasisi baba wa taifa alikuwa mwalimu
 
Walimu washenzi kabisa.wanaua wanafunzi kwa fimbo.Nimeumia sana kusikia mwanafunzi wa darasa la sita kauliwa na walinu sita kwa kumchapa fimbo kwa kupokezana hadi natamani niwafuate nikawapige makonde hawa washenzi.Walimu wamekosa adabu na misingi ya kazi.Kwa ushenziwanaoufanya wa kuua wanafunzi kwa ujinga wao nashauri wazidi kupunguziwa mshahara badala ya ilivyo sasa.Maana hawana faida
Hao ni walimu wachache usiharibu heshima ya walimu wote
 
Kama hujui mchango wa Mwanajeshi duniani kote basi wewe hufai kua mwalimu, rudisha chaki zetu
Hapa ni jukwaa leta hoja za msingi. Wanajeshi wana mchango mkubwa ila elimu hiyo wameanza kuipata kwa walimu. Walimu ni nguzo nenda huku nenda kule hutaki kwenye hoja
 
Walimu washenzi kabisa.wanaua wanafunzi kwa fimbo.Nimeumia sana kusikia mwanafunzi wa darasa la sita kauliwa na walinu sita kwa kumchapa fimbo kwa kupokezana hadi natamani niwafuate nikawapige makonde hawa washenzi.Walimu wamekosa adabu na misingi ya kazi.Kwa ushenziwanaoufanya wa kuua wanafunzi kwa ujinga wao nashauri wazidi kupunguziwa mshahara badala ya ilivyo sasa.Maana hawana faida
Kidato cha sita
 
Back
Top Bottom