Walimu ndio wanaongoza kwa kuonewa na serikali ya CCMWalimu wanamchango mkubwa sana kwa taifa. Imagine mwalimu anafundisha madarasa mangapi ? Let say kafanya kazi miaka 15, watu kibao wamepita katika mikono yake.
Fikiria mwanajeshi ana mambo mengi ya kumpa ahueni kwanza nauli halipi. Pia hata bank riba za mikopo ni ndogo. Pili wanaposho kila baada ya wiki 2.
Madaktari wao wana posho nyingine mbali na mishahara.
Mwalimu hana chochote hata nauli ya likizo anakopwa??? Yaan ni kama basi tuu athaminiki.
Hata wakati wa kujenga shule wanaanza na madarasa halafu darasa moja linakua ofisi ya walimu.
Yaan wanadharaulika. Anaweza itwa sehemu nauli ni yake chakula ni chake. Na ni kazi ya serikali. Pia anafanya kazi muda mwingine. Hata masaa 11 ila halipwi per diem .
Kuna namna mwalimu amesahaulika. Na hii haileti afya kufanya walimu muda mwingi kuendesha bodaboda au kwenda ofisini na pikipiki.. nimeshuhudia hadi mwalimu anapata ajali ya pikipiki akiwahi kazini..inashindikana nini hata kuwakopesha magari kwa riba nafuu au bila riba kila mwaka walimu hata 10 kwa halmashauri???
Tutaenda hivi mpaka lini tunahitaji viongozi wa mageuzi sio Business as usual?
Nawasilisha kwa uchunguuu
Walimu wanajidekeza sana kutwa kulia lia,kwanza wana muda wa kutosha kufanya shughuli za uzalishaji mali tofauti na kada nyingine.Ukiona ajira uliyonayo haikulipi unaacha unaenda panapolipa,
Watanzania mamilioni hawana hata hicho kimshahara cha mwalimu unataka upewe uspecial, yaani mwalimu ukajifananishe na daktari na mwanajeshi, like seriously!!!!
Kwani mwanajeshi anakitu gani acheni kukariri maisha. Mwalimu anamchango mkubwa sana. Wewe umefundishwa na wanajeshi?Ukiona ajira uliyonayo haikulipi unaacha unaenda panapolipa,
Watanzania mamilioni hawana hata hicho kimshahara cha mwalimu unataka upewe uspecial, yaani mwalimu ukajifananishe na daktari na mwanajeshi, like seriously!!!!
Kama hujui mchango wa Mwanajeshi duniani kote basi wewe hufai kua mwalimu, rudisha chaki zetuKwani mwanajeshi anakitu gani acheni kukariri maisha. Mwalimu anamchango mkubwa sana. Wewe umefundishwa na wanajeshi?
Tumewachoka bhana kila siku wao tu,Walimu wanajidekeza sana kutwa kulia lia,kwanza wana muda wa kutosha kufanya shughuli za uzalishaji mali tofauti na kada nyingine.
Wana likizo nyingi kuliko kada yoyote ile,wana muda mchache kukaa kazini kuliko kada yoyote ile,chaguzi zote wao ndio wanapewa kipaumbele,200/500/1000 za wanafunzi wanachukua wao lakini kila siku kulalamika.
Ni sahihi ila wakifanya hizo kazi mwanao atafundishwa ipasavyo????Walimu wanajidekeza sana kutwa kulia lia,kwanza wana muda wa kutosha kufanya shughuli za uzalishaji mali tofauti na kada nyingine.
Wana likizo nyingi kuliko kada yoyote ile,wana muda mchache kukaa kazini kuliko kada yoyote ile,chaguzi zote wao ndio wanapewa kipaumbele,200/500/1000 za wanafunzi wanachukua wao lakini kila siku kulalamika.
Hao ni walimu wachache usiharibu heshima ya walimu woteWalimu washenzi kabisa.wanaua wanafunzi kwa fimbo.Nimeumia sana kusikia mwanafunzi wa darasa la sita kauliwa na walinu sita kwa kumchapa fimbo kwa kupokezana hadi natamani niwafuate nikawapige makonde hawa washenzi.Walimu wamekosa adabu na misingi ya kazi.Kwa ushenziwanaoufanya wa kuua wanafunzi kwa ujinga wao nashauri wazidi kupunguziwa mshahara badala ya ilivyo sasa.Maana hawana faida
Hapa ni jukwaa leta hoja za msingi. Wanajeshi wana mchango mkubwa ila elimu hiyo wameanza kuipata kwa walimu. Walimu ni nguzo nenda huku nenda kule hutaki kwenye hojaKama hujui mchango wa Mwanajeshi duniani kote basi wewe hufai kua mwalimu, rudisha chaki zetu
Kidato cha sitaWalimu washenzi kabisa.wanaua wanafunzi kwa fimbo.Nimeumia sana kusikia mwanafunzi wa darasa la sita kauliwa na walinu sita kwa kumchapa fimbo kwa kupokezana hadi natamani niwafuate nikawapige makonde hawa washenzi.Walimu wamekosa adabu na misingi ya kazi.Kwa ushenziwanaoufanya wa kuua wanafunzi kwa ujinga wao nashauri wazidi kupunguziwa mshahara badala ya ilivyo sasa.Maana hawana faida