Hivi kwanini wanaonunua nyama robo wanafungiwa kwenye gazeti?

Hawa watu wa Buchani wanadharau sana.

Yaani mtu akinunua nyama robo wanamfungia kwenye gazeti.

Tena la michezo, au kwakuwa analeta mchezo na nyama??
Hata benki wanaokaa kwenye foleni ndefu ni wale wenye tuhela tuchache. Wenye hela za kati wakaenda kwenye bulk teller, na sisi wenye mizigo yetu, tunaenda kuhudumiwa sehemu ya Corporate Banking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…