Hivi kwanini wanaonunua nyama robo wanafungiwa kwenye gazeti?

Hivi kwanini wanaonunua nyama robo wanafungiwa kwenye gazeti?

NINA SUGGEST JF IWE INAPIMA WATU AKILI KABLA HAWAJACHUKUA MAAMUZI YOYOTE YA KUPOST CHOCHOTE
7633bc1486dc326096b92d65526c619b.jpg
 
Hawa watu wa Buchani wanadharau sana.

Yaani mtu akinunua nyama robo wanamfungia kwenye gazeti.

Tena la michezo, au kwakuwa analeta mchezo na nyama??
Hata benki wanaokaa kwenye foleni ndefu ni wale wenye tuhela tuchache. Wenye hela za kati wakaenda kwenye bulk teller, na sisi wenye mizigo yetu, tunaenda kuhudumiwa sehemu ya Corporate Banking
 
Back
Top Bottom