Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

basi bhana harakati zikaendelea kama kawaida that time nilikuwa na 24 tu sina mchongo wowote zaidi ya kusimamia kuku wa bi mdashi pale nyumban, japo bahasha nilikuwa natembeza kimtindo kwenye viofisi vya hapa na pale. zimepita siku 5 hapo sina hata kumbukumbu ya yule mzungu, ijumaa nipo bize nasambaza kuku kwa wateja wangu wa vibanda vya chips.. simu inaita sina habari kabisa kelele mingi barabaran plus nipo kwenye boda, nafika home mida ya jioni naona 2 missed calls namba ya simu sikuilewa ilikuwa ya mezani, nikaipotezea coz dakika zangu za kifurushi nisingeweza kupiga landline.. Jumapili nimetoka church misa ya pili nikapitiliza magethoni kupumzika ghafla simu inaita namba ngeni this time namba ya voda.. sikupokea maksudi nikidhani ni wateja wangu hasa wale wazee wa lawama, nikaona isiwe kesi acha niwakatae kimtindo ntawacheki jumatatu nikiwa na mzgo wa kutosha. kumbe ni yule bi mkubwa me sina habari aisee. Mishe zikaendelea mhuni nakaza tu na broiler wa bi mdashi kipindi hicho kuku inalipa balaa so viela vidogo vidgo havinipigi chenga hata lile wenge la kutafuta ajira lilipungua kwa kiasi chale, japo plan bado ipo nipate ajira yangu rasmi. Imefika j5 mvua inanyesha kinoma siku hio kazi nilimaliza mapema nipo getho nacheki zangu series. ghafla napokea text namba ya ngeni "HEY BIG DADDY..! SEEMS LIKE U SO BUSY, BEEN SEARCHING FOR YOU HIGH AND LOW BUT U DONT ANSWER MY PHONE" weeeuhh!! jasho la kwapa lilinitoka.. kumbe nilikuwa na project mahali.. mbaya zaidi natafutwa since Friday sipokei cmu.. mbaya zaidi hii project haikuwa akilini mwangu kabisa ni moja kati ya project ambazo sikuzipa uzito kwa kweli,,, sijakaa vzur inaingia text ingine ya yule bi mkubwa THE WEATHER ITS PERFECT FOR US TO GRAB A CUP OF COFFEE SOMEWHERE" Tobaaa..! sijakaa vzur akatuma msg nyingine
"I'LL BE AT THE COFFEE BAR AROUND 7Pm, U CAN JOIN ME IF U GOT TIME"
aisee tumbo la kuharisha lilinishika ghafla.. I was shocked kwa kweli nikaenda toilet fasta. nipo toi maswali mengi kichwan.. hapo natakiwa kujibu msg yake kama naenda au laa.. duh 🙄 nipo njia panda nicancel project!? atanionaje na kanitafuta siku 3 mfululizo.. so kwamba mgeni wa hizi project hapana ila nishazoea project uchwara za uswazi dotcom, sasa hii ya Leo ni ya aina yake It was unexpectedly so I have to behave very wise.. achana na hayo yote, mahali nilipoalikwa bei ya chini ya kikombe cha kahawa ni elfu 7, mbaya zaidi distance ya kutoka home mpaka eneo la mualiko ni mbali halafu mvua inanyesha kimtindo japo sio sana, hapo ni saa 11 kasoro foleni si mchezo.. ule msubaru upo kwa mwenye nayo, halafu hata kama ningekuwa na gari siku hio sikuwa tayar kuweka wese la 30K au 40K kizembe.. nimeshachora bajeti yangu iko occupied, pesa yote nimeandaa kununua chakula cha kuku kesho yake..
maswali kichwan sijui pa kuanzia, sababu kibao zisizo na mashiko.. project sikutaka kabisa ndo mana kama mnakumbuka kule kwenye mgahawa.. i was the one who gave my digits to her, Ile pia nilijua case nimeimaliza pale asingeweza kunitafuta hewan.. nadra sana hasa kwa status yake.

Nikipata time ntarudi tena wadau wangu
sorry bro Your Friendly Narcissist kwa kuvamia Uzi wako

Cc: jdsk Bushmamy ivydad simanjix jiwe angavu Kudasai Joyeuse Meek4real muuza ubuyu
 
Hizo ni story suleiman alikua na mahawara 700 kwahiyo yeye ndio rolimodo wetu
 
Maelezo yote haya mtu anayejua kuandika angeandika kwa mistari mi tano tu..Acha utoto fala wewe
 
Utoto raha
 
At 28 nlikua na shangazi la kitanga lenye 38 yrs nlidate 1 month dairy nkipewa mbususu nkaja mkrashi baada ya kuanza Leta pigo za kutambulishana pande zote mbili tuoane.then at 30 nkawa nalishangazi la kikwere lenye 42 nkadumu nalomiezi minne nkakrash baada ya kuanza kunisafisha vitu geto nkaunganisha lishangazi kingine wakati huo nmeoa wife kasafiri ili nipate pa kuponea lilikua halijui Nina mke wife aliporudi nkakrash maana lingeniumbua..nkaachana na wife nikawa alone at that age 30 nkakutana na Bibi Bomba wa miaka 54 nkawa nabanjuka nae mme wake alikua mlinzi anaingia lindoni usiku baadae nkaona mlinzi siku akinifuma sijui atanichapia rungu la kampuni yake au analofichaga kwenye boxer yake nkapiga tipa Bibi bomba.mpaka leo mm natembelea ma Volvo na scania staki vi baby worker vyenu
 
We ms,£Nnge unaaminia matandam wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mke wa mtu tu tu tu tu tu ...
 
Umeanza vizuri umemalizia kututukana

Haya
"Shwani mwenyewe"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…