Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Kweli mkuu wanasema hayo mapenzi hua ni matam sana. Basi nami I wish nipate hiyo experience. Shida ni kwamba, nampata wapi!🤔[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kuonja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu wanasema hayo mapenzi hua ni matam sana. Basi nami I wish nipate hiyo experience. Shida ni kwamba, nampata wapi!🤔[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kuonja
😀😀😀😀Umeanza vizuri umemalizia kututukana
Haya
"Shwani mwenyewe"
Take your flowers [emoji257][emoji257][emoji257] unajua kusimulia sana can you imagine nimesoma Hadi mwishoHabari zenu wana JF.
Nitajaribu kuifupisha kadri niwezavyo ili nisiwachoshe, sitaingia kweny details sana.
Kuna kipindi wakati bado nipo chuo nilibahatika kuingia katika mahusiano na mrembo mmoja aliyenizidi sana umri, wakati huo nilikuwa nina miaka 22, yeye alikuwa ana miaka 38, Aisee nilimpenda sana.
Dada yangu ndo aliyetukutanisha, ilikuwa hv, sister alikuwa na birthday party, just a small gathering, alialika marafiki zake wa kazini na mashoga zake wengine, kiujumla nahic hatukuzidi 15, so mm kama dogo la mwisho kweny familia mzee wa kutumwa tumwa ilibidi nifike mapema eneo la tukio nihakikishe mambo yanaenda sawa ili the boss lady awe na amani. Bac marafiki zake walipofika sister akanitambulisha kwa marafiki zake, walifurahi sana kuniona, walisema sister ananiongeleaga sana.
Kweny hio party ndo nikakutana na huyo mrembo, alikuwa ni rafiki wa sister wa kazini, hakuwa muongeaji sana, alikuwa mkimya na alionekana kama hana furaha kama wenzake, mara ya kwanza kumuona nilivutiwa nae sana, nilipenda sana sura yake(face ratio) ilivokaa.
Bac nikakusanya ujasiri nikamfata, haikuwa rahic kuongea nae cause aliniona kama namkera but kadri tulivozidi kuongea nikagundua mambo aliyokuwa anapenda nikanzisha topic za hayo mambo nikaanza kuona mood yake inaanza kubadilika akawa mchangamfu.
Bac tukabadilishana namba kwa kisingizio kwamba nataka nijifunze vitu kutoka kwake, it was silly but it worked, tukawa tunachat kawaida tuu siku zikasogea, alikuwa mpenzi sana wa series, bac nilikuwa nampa recommendations kulingana na taste yake, alifurahi sana kukutana na mtu anayemwelewa na anayejua anapenda kitu gani, sio tuu kwenye series but hata kwenye maisha ya kawaida mawazo yetu yalikuwa yanaendana sana, our connection was strong, ilifika kipindi tukazoeana sana tukawa tuna chat kama vile watu tuliozeana kwa muda mrefu, lakini sikusita kumwambia jinsi gani alivyokuwa mrembo na alivonivutia toka siku ya kwanza kweny party, alikuwa anacheka sana nikimwambia, akaanza kidogodogo kunambia mambo yake personal, alikuwa na mtoto mmoja wa kike mdogo na alikuwa ameachana na mme wake.
Nilikuwa namwomba tukutane mara kwa mara, some days alikuwa anakubali, some days alikuwa anakataa, lakini siku alizokubali tukutane tulipiga story sana, kumbe ni muongeaji mzuri tuu mm nilikuwa kazi yangu kusikiliza kwa makini na kuongeza comments zinazofanya mada iwe entertaining, uzuri topic alizokuwa anaongelea nilikuwa familiar nazo kwaio alikuwa ana enjoy sana kuongea na mm, I was very supportive to her, akihuzunika nahuzunika nae akifurahi nafurahi nae, alinambia kwann kaachana na mme wake, mme wake was abusive to her alikuwa anampiga, akaona isiwe kesi wakaachana, tuli bond sana na sikuwa na woga wa kumshika, I broke the touch-barrier very confidently hadi alishangaa, mwanzoni nilikuwa nikimshika kiuno alikuwa anaondoa mkono wangu but badae akazoea akawa ananiacha tuu. Nikijaribu kum-kiss she showed no resistance so I guess we were kinda dating but nikimuuliza "are we dating" alikuwa anajibu "No" but haikunisumbua because being close to her mattered to me the most, I loved her very much, alikuwa ana macho mazuri mno.
Sasa kuna siku alinambia amenunua TV kubwa na alikuwa ana mpango wa kuiweka ukutani sema fundi wake anayemtumiaga amesafiri, nikamwambia sawa haina shida ntakuja kukuekea, nilikuwa nina experience na hio activity kwaio haikuwa na shida, nilipofika home kwake nikachukua vile vifaa vya kuekea TV ukutani vilivokuwa kweny boksi lake, nikatoa instruction manual nikaisoma nikajua kila kitu kinachotakiwa kufanyika, bac nikadrill pale ukutani tukasaidiana kuiweka TV ikakaa fresh.
Tulivomaliza pale sikupoteza muda hata kidogo I tried to seduce her to sleep with me but akakataa akanambia hawez kufanya ivo wakati mtoto wake yupo pale home, bac pale nikawa nimehuzunika ila najifanya kama nimepotezea but she knew me, akanambia usijali weekend nitampeleka mtoto akamsalimie baba ake maana kila siku ananisumbua anataka amwone baba ake, unaweza kuja, mi mwenyew nina muda sasa sijakutana na mwanaume, nikamwambia "Sawa haina shida nimekuelewa" tukaachana na hayo mambo tukaendelea na mambo mengine, aisee nilivorudi chuo siku zikawa haziendi nilikuwa naona weekend haifiki.
Hatimaye weekend ikafika, tuli enjoy sana ile weekend tulikuwa hatuna distractions, it felt like heaven...just imagine, some men will kill just to hold the hand of a woman he loves but I got the chance to sleep with the woman of my dreams. She made me feel alive.
Tuliendelea na yale mahusiano but it didn't last long yalidumu kama 4months hv, kuna siku akaniita akanambia "It was nice but it needs to end" niliumia sana aisee, nikamuuliza kwann akaniambia "haya mahusiano hayana faida kwako, yatakuumiza tuu bado una umri mdogo huja experience life kama mm" nikamwambia "nikiwa na ww sihitaji hizo experience, when im with you im happy" alichonijibu hadi leo nikikumbuka naumia sana alisema "No unajidanganya we bado mdogo sana hujui mapenzi ni nn, mi mwenzako miaka miwili ijayo natimiza miaka 40 bado miaka mitano tuu niingie menopause vp unataka Unioe na uzee wote huu?
" Nikamwambia "Ndio umri si kitu kwangu" akacheka then akasema "we bado hujakua vizur hujui mambo mengi ndo kwanza una 22 hujui hata unataka nn maishani, bado hujajitambua, this needs to end na sio kwa ubaya nakuonea huruma unapoteza muda wako kwangu, mm jua kwangu lishazama ww ndo kwanza linachomoza you have bright future ahead of you, tumetofautiana miaka 16 mingi sana naweza hata kukuzaa tafuta girls wa umri wako" aisee niliinama chini tuu sikuwa na nguvu hata ya kumwangalia, I loved her as much as man can love a woman, nilihisi moyo utapasuka but sikutoa chozi, aliendelea kusema "I like you very much but for your sake bora iwe hivi ili usije kuumia zaidi"
Niliondoka pale nikarudi chuo nikapanda kitandani, ule usiku usingizi ulikuwa hauji kabisa kila nikimuwaza machozi yanatiririka nilijaribu kumchukia lakini wapi nilizidi kumpenda zaidi, baada ya muda kidogo alikata mawasiliano na mm. Dada yangu hadi leo hajawahi kujua nilikuwa kweny mahusiano na mmoja wa marafiki zake. Nilikuwa namuwaza sana hadi kuna kipindi nikawa namuota.
ASIKUDANGANYE MTU, OLD IS GOLD.
I love older women, wana qualities nyingi zinazonivutia, sio kwamba sipendi girls of my age but I find older women fascinating.
Kama ulishawahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri toa comment hapo chini na tuelezee ilikuaje??
😂😂😂😂😂Mfate Masai dadaKweli mkuu wanasema hayo mapenzi hua ni matam sana. Basi nami I wish nipate hiyo experience. Shida ni kwamba, nampata wapi!🤔
Mimi sio shangaziWhy masai dada? Wewe pia si mwanamke??
Wachana na hao ndo Wana JF ndugu yanguKuna watu wanasoma uzi then wanatoa mitazamo yao kwamba mahusiano yangu yaliisha kwa sababu fulani.
Most of them wanasema sijamridhisha vizur kitandani, mmejuaje?
Kama umesoma story vizur nimeweka wazi sababu za kuachana, ningetaka kuandika uongo na kujisifia ningefanya hivo na msingejua.
Maybe kwa sababu sija hadithia kama wanavotaka wao niadithie, haswa kweny mambo ya sex.
They wanted me to give them an erotic story.
Walitaka niandike yale mambo ya "Nikamvua chupi, nikampapasa, sijui nikamfanya hivi na vile" n.k
Sina lugha mbaya na namheshimu sana yule mwanamke siwez kumfanyia hivo hata kama sipo nae.
Our relationship was based on friendship, trust and Love, so I wrote my story focusing on those things and nothing else.
If you're looking for an erotic story, nenda kule "Kula tunda kimasihara".
Shangaz ni jina tu bwana hata ukiwa umenizidi 2yrs. Ngoja nije pm miye🤗🤗Mimi sio shangazi
MPShangaz ni jina tu bwana hata ukiwa umenizidi 2yrs. Ngoja nije pm miye[emoji847][emoji847]
No it's Prime MinisterMP
Minister of Parliament
Member of Parliament ????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]No it's Prime Minister
Fungua tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlango mbona nishakufungulia kitambo ngoja nifungeFungua pm basi[emoji22][emoji22]
Daah nishakukosa aisee😢[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlango mbona nishakufungulia kitambo ngoja nifunge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah nishakukosa aisee[emoji22]
Nimekubali mzeee[emoji23][emoji23][emoji23]kwahuyo demu unaonekana huna vigezo vya mashangazi wavitakavyo.Sema ulimuwin wakati yuko na upwiru.Akili ilivyomrejea akona hapa sikuwaza kwa akili ni nyege tu zilikuwa zinanisumbua.
Amini kwamba kama huyo mshangazi ungekuwa unamkojoza vilivyo bado ungekuwa unamchanua kama kawaida hata huko Mwanza ungekuwa unatumiwa ticket go n teturn na posho unakula.
N:B#1.Demu/Mwanamke/Mshangazi unatakiwa akupende sana wewe kuliko unavyompenda yeye.
2.Ukiwa kwenye mahusiano unatakiwa ujiandae kwa lolote muda wowote.Demu kabla hajasema uachane nae wewe kama spy unatakiwa uwe ushajua sign kitambo,akija na hilo wazo wewe tayari kitambo ulishakuwa na jibu lake.
Mwanamke akikwambia tuachane.Jibu lako ni "Sawa".Au kakutxt unakausha tu hujibu chochote.Akipiga kutaka kusikia kutoka kwako unasema naheshimu maamuzi yako,ukiona anajichekesha oh nilikuwa nakupima kama kweli unanipenda...na wewe unachange gear angani na mimi nilikuwa nakutania mpenzi wangu,mimi niachane na wewe mrembo wa moyo wangu!
Muhimu kukaa kimaster muda wote na chochote,ukizingatia hayo mapenzi hayawezi kukutesa kamwe.
Vijana mnataka mserereko...tatizo mkiwapata mashangazi mnawapiga matukio,just let love flow....siku izi wanaume mmezidi utapeli daaaah...Eee na mimi nataka mumama[emoji23][emoji23]
Anakufulia, alaf tena anakupiga?Acha niwape experience yangu binafsi kuhusu kufall in love kwa kijana mdogo...ilikua balaa, ilibidi familia iingilie kati... Nilimzidi miaka nane....
Imepita miaka minne sasa, nilikutana na Gee wakati nafanya kazi deiwaka mahala, nilipokua nafanya kazi na ofisi ya Gee ni ofisi jirani, na pia alikua kijana mchangamfu sana, very humble ,very caring...
Kimuonekano alikua ana umbo kubwa , mtu wa mazoezi, kwahiyo haikua inasumbua sana, ni hadi uwe mfuatiliaji ndio utagundua utofauti wetu, ilikua tukitembea wote anapenda kunikumbatia yaani, na huu ushamba wangu wa kihehe ,woiii nikawa naona kama nimebeba dunia
Unapokua mgeni mahala lazma watatokea wawili watatu kukukaribisha, jinsia tofauti, kwaio wakati hao wakaribishaji wanapambana kunizoea Gee tried to stop it, si mnajuana tabia zenu wanaume mkiona pisi mpya mtaani, yaani aliingia kwa bifu na baadhi ya wanaume ofisi jirani. Hayo yakawa yanaendelea mimi muhusika sifahamu hata, taarifa zikaanza kuzagaa kua natoka na Gee, wachache wanaopenda kupata ubuyu ulio fresh toka kwa wahusika wakanifata kutaka kufahamu ukweli wa hiyo story, ikabidi nimfate huyo Gee Sasa maana sikuwahi kumzoea kiivo, ingawa yeye alikua anapambana kunizoea namkazia, nilikua nakachukulia katoto tu, kabishoo ivooo...
Nikawait lunch nikaomba kuongea nae, tukakutana kwa cafe mbali kidogo na hapo job, nikamuuliza nayoyasikia kama yana ukweli, akawa kama anataka kukataa baadae akakubali kua ni kweli alijipa iko kibarua, akanambia sister we mzuri sana watakutumia tu wakuache, nawajua wale majamaa mambo zao, so zikaanza story pale za hapa na pale, tukabadilishana namba, mazoea yakazidi, tunachart hadi usiku, tunaongozana karibu kila mahala ivooo....
Akanikaribisha kwake, alikua anakaa karibu na mahala tunafanya kazi, mimi nilikua naishi mbali kiasi, kwahiyo zilianza sleep over, naacha kagauni kwake, mara tishrt, mara bra , ghafla nikahamia kwake... Gee cooked for me, alikua ananifulia ,uwiii yale mahaba aiseee, sijawahi fanyiwa hizo mambo hata, we had a bond, vitu vilikua vinatokea kwa kasi na ilikua poa sana, never had that experience before, I can't tell how I fall in love but I surely did...
Kuna mistake aliifanya na ilifanya hadi familia waingilie, nilianza kufanya matumizi rough ya pesa kuliko inavyotakiwa, naweza sema alikua na jambo lake na alifanikiwa, alianza kunicontorl financially, and too bad sikua na kauli, I was okey ...just okey...nilihama home bila taarifa, home wakawa hawafahamu naishi wapi, naweza sema I was totally lost in his arms. Vipigo vikaanza pia, kaka anapiga kama Mandonga....wivu uliopitiliza daaah
Baada ya jitihada kubwa ya wanafamilia ikabidi nirudi nyumbani, bi mkubwa akawa anacontrol pesa yangu, Geee akaanza kujikataa mdogomdogo, si akipiga mzinga Sina hela, akaanza kunipiga matukio mfululizo yaani, hakuna rangi sikuona, ikafika mahala ilibidi na ile kazi niache, nilimblock kila mahala, nikapambana kumsahau and yes I won...ila Yule mkaka daah, hua namkumbuka na zile show zake aiseee, ni vile alinigeuza ATM machine...
All in all ,it was a beautiful experience....no regrets!