Niliishi peke yangu.Mtoa malalamiko hajiu zamani wazazi wetu hawakupitia mifumo tunayo pitia kizaz cha sasa cha kulipiana kodi ya nyumba kununuliana gas wasicha wazamani walikuawa hawatoki chini ya uangalizi wa wazaz kwenda mkoa mwingine kujitafutia maisha bila kuwa na ndugu uko aendapo, kwaiyo mtoa mada husijaribu kulinga nisha maisha ya vijana wa zamani na vijana wa sasa,nimuulize mtoa mada Mama kabla kabla haja olewa alikuwa anaishi Kwa wazaz au alikodi chumba akawa anaishi pekeake
[emoji13][emoji3] muache hiyo tabia ya kutuambia nataka kukuoa, kumbe unataka ulambe asali uondoke... Muoaji hata hajitangazi hivyo[emoji1787]Hakuna mwanaume anayekuja na Gia ya kuoa ili ampate msichana [emoji3][emoji3][emoji3] ila wanawake mnakuaga na zile sentensi za "sitaki kuchezewa" muhuni anabend kulingana na mahitaji [emoji3] kazi ibaki kwako sasa binti mfalme ! Nakazia kwenye point ya kwanza na ya pili
Fact[emoji419]No 3,6 na 9 nakubaliana na Wewe Hilo hizo zingine zinaonesha upungufu au Wanawake wengi kushindwa kutumia au kuendana na nyakati Ukiwa kama mwanamke mwenye ndoto kubwa za kimaisha ikiwemo kuolewa unatakiwa baadhi ya vitu ufanyiwe kazi mahusiano yanahitaji kusaidiana sio tu kupokea kila kitu kea mwanaume tunaiita Win Win situation Ndio yanayodumu kwasasa amsaidie mwanaume wako pale unapoona kakwama kama ambavyo anavyokuhudumia pale anapokuwa na hela jitahidi pia uwe mshauri mzuri kea mwanaume.Mwanaume anaweza kuwa useful kwako unapoonesha matendo mazuri kwake unapokuwa mtu wakuthamini maslahi sana kwenye mahusiano usifikiri huyo mwanaume atakupenda
Sanamu lako tulijenge wapi mkuuHakuna chamaana ulichoandika apa unajua uvumilivu WA mwanaume unapimwa kwenye nn kama bwanaako akuudumiii tafuta pesa yako Acha kuja kulia Lia apa nikutongoze alafu unizungushe kunipa Papa maana yake nn sasa c ungenikataa Tu et ndoa ww ni bikra Hadi naisubiri ndoa kiazi kabisa
Usitufokee1: Mwanaume unashindwa kuvumilia sex mpaka ndoa... Na badala yake umetongoza Leo baada ya wiki unataka starehe ya mwili. Wewe si useme tu kuwa hitaji lako ni sex tu basi na acha kuzunguka zunguka kuwa nataka kuoa?
2: Mwanaume unatongoza, umekubaliwa tayari. Unaanza kuuliza vipi Sasa tutalala pamoja lini?. Ilhali unaombwa elfu 5 tu , huna unaitafuta mwezi mzima. Unafikiri Kuna mdada atakufikiria kweli?
3: Unaenda Nyumbani kwa mwanamke wako, unakaa wiki, hujiongezi Wala nini. Unatumia dawa yake ya mswaki, maji yake, Taulo lake, msosi wake, tena unakaa kabisa unabadili na chaneli unavyotaka wewe. Na simu unachaji kabisa. Hiiii Yani huoni aibu ilhali hujachangia hata sent 5??. Unaombwa pesa ya umeme unasema sina, Sasa unapata wapi nguvu ya kukaa kwake wiki nzima huku huna mchango wwte, zaidi ya show tu?
4: Mwanamke wako anakuambia "baby nna njaa". Eti unamjibu "chukua chakula ule". Au " hapo Nyumbani kwani hakuna chakula". Unatakiwa ujiongeze utume pesa ya kula. Mbona mambo mengine yanaeleweka. Unaambiwa "naumwa" tuma pesa ya hospitali na sio nenda hospital.
5: Unaombwa pesa kidogo kidogo tuuu ya majukumu yake, unasema yule mwanamke Malaya. Sasa baba unataka ule uroda bila kuhudumia?. Oooh Kuna mapenzi bila pesa, hahahaha nicheke Sana, hivi unaweza kwenda lodge bila pesa wewe?. Unaweza kwenda out bila pesa wewe?
6: Mkeo mjamzito, unatoka unaenda kutembea na wanawake wa nje, hivi unashindwa kuvumilia ata miez 3 kweli?... Uvumilivu mbona hamuna nyie
7: Mwanaume unampa mimba mtoto wa watu, halafu unaikataa. Kipindi unakula starehe hukujua kuwa Kuna kitu kinaitwa mimba???. Mtoto akishakuwa ndiyo mnakuja kuja huyu mtoto wangu, huku hujui hata amekuaje kuaje kufikia umri huo. Ww ni wa kupigwa kabisa.
8: Mwanaume unalia Lia mapenzi tu, Kila siku nyuzi za wanaume kulia na kulizwa mapenzi. Kazi yako kutafuta Hela, mpenzi yatakukutia mbeleni. Wajibu wako ni kutongoza yyt yule umtakaye na sio kulia Lia mapenzi kisa mtu mmoja ambaye ameamua kufanya yake, nawe tafuta wako.
9: Chumba Cha mwanaume ni kichafu hatari, usafi ni mara 1 Kwa mwezi. Soksi zake Sasa zitazame huwezi ata kuzinusa Yani. Unamsubiri mtoto wa watu tena ambaye humpi huduma yoyote aje akufulie na huduma akupe. Mwanaume kuwa smart bhana. Kuwa nadhifu kabisa, hata ukionekana mtaani, unakubalika. Hata kama huna Hela.
10: Mwanaume unakaa kabisa unajisifia tena mbele ya wanaume wenzio, eti ooh yule manzi acha kabisa, kafa kaoza kwangu, ananipa chochote nachotaka, hata tukitoka out yeye ndiyo ananipenyezea pesa Ili Mimi nilipe nionekane nimelipa Mimi kidume, nguo ananinunulia mpaka boksa. Hapo huyo mwanaume yupo Nyumbani tu anakula na kulala. Eti ooh Mimi ni mzuri, hakuna mwanamke atanikataa, wenyeweee wananihonga.
Khaaaa Yani unajisifia kuhongwa na mtoto wa kike?, Mbona Kuna vijana wa hovyo Sana??. Yani ni bora hata yule muuza ndizi, akirudi anampa manzi ake shng 1000. Kuliko ww unayejisifu kupewa. Unajisifia uzuri eti, ata huwe kama amo rapa ukiwa na Hela hukataliwiii. Mtoto Wa kiume piga Kazi...Mwanaume wa ukweli hawez kukubali pesa ya mwanamke wake ata siku 1.
HONGERA SANA KWA WANAUME WANAOJIONGEZA HAPA DUNIANI. WAJENGEWE SANAMU LA PEKE YAO.
Yaani mwanaume day one mnaingia kwenye mahusiano anajua kabisa hapa naoa ama natumia tu !! Sasa masharti ya binti mwanaume ndo atajua jinsi ya kucheza !! Linapofika suala la kuomba game ya kwanza mwanaume lazima awe smart sana ! Ile akili inakua ni kubwa mno [emoji3][emoji3] Baada ya hapo ndo msululu wa matukio ufuate[emoji13][emoji3] muache hiyo tabia ya kutuambia nataka kukuoa, kumbe unataka ulambe asali uondoke... Muoaji hata hajitangazi hivyo[emoji1787]
[emoji3][emoji3] Kwa hiyo gemu ya kwanza lazima ipangiliwe Kwa ufasaha?Yaani mwanaume day one mnaingia kwenye mahusiano anajua kabisa hapa naoa ama natumia tu !! Sasa masharti ya binti mwanaume ndo atajua jinsi ya kucheza !! Linapofika suala la kuomba game ya kwanza mwanaume lazima awe smart sana ! Ile akili inakua ni kubwa mno [emoji3][emoji3] Baada ya hapo ndo msululu wa matukio ufuate
Weka namba pm nkufwate nikupeLabda utanipa wewe
sio kwamba tunajuana nakujuaNashukuru kwa kuwa tunajuana.
Jehovah awabariki sana wanawake wanatoa mbususu kwa urahisi na moto wa milele uwashukie nyie wachoyoMwanaume akikamilika inaboa nafikiri haya yote ni wanawake kuzirahisisha qma kupatikana kirahisi coz we ukibana mwenzio anaachia tena bure.
Hata mimi mwenyewe sikubaliani na huyu kilazaUzuri wa JF wale waliocomment 10 wa mwanzo ndio wanatoa hitimisho ya comments zijazo.
Namimi pia sikubalini na wewe
Lazima tukasirike haiwezekani mwanaume ufundishe wanawake kubania mbususu utadhani anazikatia VAT tra kama mabanda ya biasharaNgoja waje
Watashusha hasira hadi!!