Hivi kwanini wanaume wa zama hizi sio wavumilivu, na hawajiongezi?

Una maanisha nin kusema "wanaume wa zama hizi" ? Kwan hao wanaume wa zama zilizopita uliwaona tabia zao walipokuwa kwenye lika kama la wanaume wa zama hizi?
 
Sio sawa kumnyima mwanaume tendo mpaka ndoa tena mwanaume rijali kila asubuhi inawika
 
Umasikini wako ndio umekufanya uandike haya.

Ufukara wako ndio umekufanya uone kupewa vichenji vya bia na wanaume ndio mapenzi.

Umalaya na u chipest wako ndio umekufanya upate wanaume wa sampuli hiyo.

Dada yangu ongeza mapambano bado unasafari ndefu.
 
Kumbe unataka hela
 
Sasa hivi ni kuwaburuza tuu..si mmeamua kuja ya gear ya kila mkitongozwa mnataka hela?basi tunawapa tunachapa mzigo..na tukikuta yaliyomo hayapo tunatafuta shimo jingine
 
Hapo kwenye kunusa soksi unakuwa unataka kugundua nin a
 
Wewe ni bwege mtozeni, kama unataka pesa ya matunzo kama lotion,hela ya saloon kamuombe baba yako...hapa ni mwendo wa nipe nikupe.....
 
Aliandika akijiona great thinker
Ila Kuna mengine ya ukweli, Hilo la 7 la 9. Wanaume wengine hukimbia kulea watoto wao kisa matatizo ya kiuchumi. Na wengine hawawezi kuweka mazingira vizuri sehemu wanapoishi. Kuhusu upendo, upendo hutoka ndani ya moyo, hupendo hauhusiani na pesa. Ukipenda pesa za m2, unakuwa siyo upendo Bali ni tamaa. Kuna Raha yake kuwa na m2 mnaopendana bila kuwa na sababu.
 
Sasa nyie kuendana si mnamaanisha mtu utakae muomba hela asikunyime
 
[emoji13][emoji3] muache hiyo tabia ya kutuambia nataka kukuoa, kumbe unataka ulambe asali uondoke... Muoaji hata hajitangazi hivyo[emoji1787]
Dada napenda kukumbusha kua Bulbs hutestiwa dukani na wala si Nyumbani, ukiona mpaka mtu anakuja na bulb Nyumbani,ujuwe hiyo bulb ishatestiwa dukani na iko Safi kwa Matumizi ya kuleta mwanga mzuri hapo Nyumbani!!!
 
Kwa ukahaba huu idadi ya risasi itaongezeka tu.
 
Uzi umekaa kimasimango sana huyu, yaani mleta UZI ni mchambaji mzuri kama Dr. Kumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…