Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

uchiteme

mwaya uchiteme!! wafupi na vitu vyao vifupi tu....hawa ni ft tano kurudi chini mpaka futi moja ivi hawa ni wafupi!...vinakuwaga na ugwadu sana shauri vinapata kwa nadra!! wee zaa warefu tuu!
Na wewe bwawa la mtera
 
Mtu mfupi akiwa na nywele kipilipili nikimsogelea karibu huwa namuona Kama kitenesi huwa natamani nishike ile kichwa nidundishe chini
 
Nimetoka kucheka kwa Uzi wa unique flower ..🤣🤣🤣🤣Sasa nacheka na my name is my name..hapa akimaliza na katoto kazuri jioni yangu burudaaani😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣ila nyieeee
 
Ila JF hakuna anayebakigi salama,

Yaaaani kwa namna yoyote lazima kuna siku utaanzishwa uzi ambao deep down utakugusa tu, tena utakugusa kwa namna mbaya.

Haya,leo zamu ya wafupi [emoji23][emoji23][emoji23] Uzuri kati ya wafupi watakaoboreka leo,watakuwepo wafupi waliowahi kuanzisha mada kuponda single mothers [emoji1787]
Kuna mada wa wafupi
Kuna mada za single mother
Kuna mada za vibamia
Kuna mada za wale vijana wanaokaa kwa shemeji zao hahahahaaa
 
Bobrisk ndio nini?
Huyu hapa ndio Bob risky
images%20(67).jpg
 
Aliyekutenda ni Mmoja usiichukie DUNIA NZIMA....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii thread inarudi mara ya tatu humu...
kuna cd ya masingle Maza,,
cd ya watu wafupi...
na cd ya kitimoto
na cd ya madem wenye mit.ako...
haipi miezi mitatu bila kujirudia....
tofauti ni uletwaji tu rizim ni ile ile
Umesahau Cd ya Wachagga
 
Back
Top Bottom