Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

Ila JF hakuna anayebakigi salama,

Yaaaani kwa namna yoyote lazima kuna siku utaanzishwa uzi ambao deep down utakugusa tu, tena utakugusa kwa namna mbaya.

Haya,leo zamu ya wafupi [emoji23][emoji23][emoji23] Uzuri kati ya wafupi watakaoboreka leo,watakuwepo wafupi waliowahi kuanzisha mada kuponda single mothers [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
uchiteme
Kwanini niteme mate chini?
mwaya uchiteme!! wafupi na vitu vyao vifupi tu....hawa ni ft tano kurudi chini mpaka futi moja ivi hawa ni wafupi!...vinakuwaga na ugwadu sana shauri vinapata kwa nadra!! wee zaa warefu tuu!
 
Ila JF hakuna anayebakigi salama,
Duuu!! yamekuwa hayoooo!! lool mwaya kumbe mie ni unique sijawahi guswa hataaaa!! na kitu chochote mwaka wa ishirini huu na saba!...nimekomalia humu humu!
 
Fashion Fashion Fashion

Sio kila mwanaume mrefu hupendeza akivaa suti,
Sio kila mwanaume mfupi huchukiza akivaa suti,

Kuna vitu vingi sana vinachangia mtu kuonekana kapendeza kuanzia

Rangi ya Ngozi yake
Umbo lake
Style ya Nguo aliyovaa
Rangi ya Nguo anayovaa

ingekua ufupi ni tatizo,basi hakuna mtoto ambae angekua anavalishwa anapendeza,na wote tunajua hakunaga mtoto mrefu otherwise uzae ROBOT.

Mtoa mada nipende tu kukwambia taste za wanaume unaowapata ni washamba na wasiojua fashion,japo "wana pesa" maana unaonekana unaangalia zaid wallet wewe,unasahau wallet haina uhusiano na Fashion.

sikia nikwambie hao size men wako hebu wambie waache nunua suti za dukani na waanze sasa kushona suti kulingana na maumbo na kimo chao,Suti haijawahi mchukiza yeyote anae ivaa.

ukiona mtu kachukiza akvaa suti ni either

kavaa Suti ya dukani sio size yake
kavaa Suti yenye kitambaa cha rangi ambayo haiendani na ngozi yake
kashonewa suti na fundi asiejua Suti inashonwa vipi na bega linafanyiwaje finishing

Suti ni vazi Adimu, Suti inampendeza JOTI wa orijino COMEDY halafu imchukize huyo mwanaume wako?

Suti inampendeza Kelvin Hart halafu unaisema nini wewe, kuna raia wafupi kama Joti na Kelvin Hart?

Ushawakuta wakiwa wametupia vyombo vyao kwenye ma red carpet? Sikia mkuu Acha date na vibabu wababu huvaa suti OLD FASHION na zinazonunuliwa madukani.

Anza ku date rasmi na vishotii vyenzako vyenye chada ambao wao suti wanashonesha,unavaa Suti halafu unaenda nunua suti Sandaland,utakua unaumwa akili, mtoa mada suti haina uhusiano na ufupi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] au ukute mwanaume mfupi na ana matege alafu avae suruali nyekundu, khee!!!! Kwa mbali akitokea unaweza sema ni "plaizi" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Plaizi plaizi ....hahaha pua pua cc Tivu ake[emoji1787]
 
Imenichoma hii mada, nipeni dawa ya kurefuka, najichukia hatare
 
Wanapendeza tu mbona
Labda tu hupendi wanaume wafupi ndgu ila kupendeza nadhani ni mwili wa mtu tu.

Kuna watu ni warefu ila nguo haziwakai kabisa, kuna mwanangu yeye ni tolu ila milozi haimkai kabisa yani na anapenda kutupia ila ndo ivo nguo hazimkai.

Sana sana ni mwili na kujua code zako vyema, ufupi sio ishu.
 
Back
Top Bottom