Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Kwani bado haijafika? 🙆♀️Utanitumia picha yako eenhh??!!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani bado haijafika? 🙆♀️Utanitumia picha yako eenhh??!!.
Bado mrembo wanguKwani bado haijafika? [emoji2296]
Hebu ngoja nitume tenaBado mrembo wangu
Fanya hivyo mtoto mzuri,utabarikiwa sana.Hebu ngoja nitume tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila JF hakuna anayebakigi salama,
Yaaaani kwa namna yoyote lazima kuna siku utaanzishwa uzi ambao deep down utakugusa tu, tena utakugusa kwa namna mbaya.
Haya,leo zamu ya wafupi [emoji23][emoji23][emoji23] Uzuri kati ya wafupi watakaoboreka leo,watakuwepo wafupi waliowahi kuanzisha mada kuponda single mothers [emoji1787]
mwaya uchiteme!! wafupi na vitu vyao vifupi tu....hawa ni ft tano kurudi chini mpaka futi moja ivi hawa ni wafupi!...vinakuwaga na ugwadu sana shauri vinapata kwa nadra!! wee zaa warefu tuu!Kwanini niteme mate chini?
Duuu!! yamekuwa hayoooo!! lool mwaya kumbe mie ni unique sijawahi guswa hataaaa!! na kitu chochote mwaka wa ishirini huu na saba!...nimekomalia humu humu!Ila JF hakuna anayebakigi salama,
Yumekumbukwa tena asante Mungu[emoji28]Vipuuzi Sana hivyo vimtu vina gubu la kijinga jinga
Plaizi plaizi ....hahaha pua pua cc Tivu ake[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] au ukute mwanaume mfupi na ana matege alafu avae suruali nyekundu, khee!!!! Kwa mbali akitokea unaweza sema ni "plaizi" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😆😆😆😆Ufupi hauna mwanzo au mwisho mtu ukiwa mfupi unajijua tu kama wewe mfupi
Vaa heels 👠Imenichoma hii mada, nipeni dawa ya kurefuka, najichukia hataree
Kidume mimiVaa heels [emoji151]
PoleKidume mimi
Mmmh kwwli?.Kidume mimi
Sasa kidume pole ya nini tena[emoji38]Pole
Si hana mbadala 🤣Sasa kidume pole ya nini tena[emoji38]
Uko poa mdada?Si hana mbadala [emoji1787]