Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

uchiteme

mwaya uchiteme!! wafupi na vitu vyao vifupi tu....hawa ni ft tano kurudi chini mpaka futi moja ivi hawa ni wafupi!...vinakuwaga na ugwadu sana shauri vinapata kwa nadra!! wee zaa warefu tuu!
Na wewe bwawa la mtera
 
Mtu mfupi akiwa na nywele kipilipili nikimsogelea karibu huwa namuona Kama kitenesi huwa natamani nishike ile kichwa nidundishe chini
 
Nimetoka kucheka kwa Uzi wa unique flower ..🤣🤣🤣🤣Sasa nacheka na my name is my name..hapa akimaliza na katoto kazuri jioni yangu burudaaani😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣ila nyieeee
 
Sawa bi ziwa tanganyika
Mie ni bahari namiliki nyangumi na papa!!! ziwa tanganyika umekosea!.....kidoti hakimiliki kitu si umaskini huo!! Bahari ni tajiri!
 
Kuna mada wa wafupi
Kuna mada za single mother
Kuna mada za vibamia
Kuna mada za wale vijana wanaokaa kwa shemeji zao hahahahaaa
 
Aliyekutenda ni Mmoja usiichukie DUNIA NZIMA....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii thread inarudi mara ya tatu humu...
kuna cd ya masingle Maza,,
cd ya watu wafupi...
na cd ya kitimoto
na cd ya madem wenye mit.ako...
haipi miezi mitatu bila kujirudia....
tofauti ni uletwaji tu rizim ni ile ile
Umesahau Cd ya Wachagga
 
Af wanaume warefu asilimia kubwa wana vipenseli ya kakitu kembamba kanaelea elea tu ila hawa 5 ft kitu kinene urefu wastani,kwakweli kwa ma andunje sibanduki ata wakivaa kama jokeri.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Duuuh, una uzoefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…