Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

Hizi bangi mnazovuta msiwe mnachanganya na ugoro.
 
Hii thread inarudi mara ya tatu humu...
kuna cd ya masingle Maza,,
cd ya watu wafupi...
na cd ya kitimoto
na cd ya madem wenye mit.ako...
haipi miezi mitatu bila kujirudia....
tofauti ni uletwaji tu rizim ni ile ile
 
Basi sawa vuta subira kidogo, Muumba wao atakujibu
 
Ufupi ni nini na unalingasha na nini? Mbona Mzee Mwinyi pamoja na ufupi wake anapendeza? Je baba yako ni mfupi au mrefu na kwa vigezo vipi?
Nilidhani Kagame ni mrefu sana baada ya kusimama na Kikwete, ila Kagame aliposimama na Obama, akawa mfupi kwa...

Nikajua Mwinyi ni mfupi, ila aliposimama na Ben, akawa mrefu kuliko...

Kwa ujumla, andunje ni mfupi
 
Kama hawapendezi ni kwako na ujizungumzie peke yako, unadhani ungepata jeuri ya kuwagundua warefu kama wasingekuepo wafupi
 
Mwacheni tu na ujuaji wake,Ana criticize viumbe wa Mungu,Mungu fundi atkufurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…