Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

Tuache kusemana kwa vitu visivyo ndani ya uwezo wetu.tunaumizana
Kama tungeweza kubadili vimo vyetu sawa,lakini haiwezekani.
Na vimo vyetu ni matokeo ya wazazi wetu.
Kama binadamu kabla hajazaliwa angepewa nafasi achague wazazi.
Basi tungelaumiana kwanini ulichagua genes fupi.
Ila its out of our choice.
 
Embrace your uniqueness Mkuu.

Kumbuka Biblia inasema we are fearfully and wonderfully made.

We are perfect in God's eyes.
Mkuu baada ya kuelewa sikuwa naona kitu chaa ajabu.
Kuna wengi kama mimi je wanastahimili hizi hali kama hawakupata kuelimishwa na kupewa Moyo??
 
Mkuu usichukulie serious bana huu utani wa humu ni endless!
Ni kweli Mkuu..sasa unakuta kuna mtu tofauti na mimi akaon huo uzi asubuhi kama hii na anamawazo yake.
Kama hakupata watu wa kutia moyo kama wewe na wote.
Huathiri akili kwa kiwango kikubwa sana ki ukweli.
Nakumbuka kuna kisa cha mwezi kama mmoja ulipita kuna yule binti aliyejiua baada ya kupigwa na mwenzake kwa facts tu za Weusi...
Bado kuna changamoto sana kwa jamii zetu kuhusu hali na maumbile.
 
Yeah tunatofautiana stress management abilities! Kuna watu wako so emotional kiasi kwamba ukimsema kidogo analia wengine ndio hufikia stage wanaji self destruct ni changamoto kwa kweli!

But all in all tuko pamoja! Haya mambo madogo tu ulemavu kwa sasa ni kukosa pesa tu wala si maumbile! Hivyo furahia maisha!
 
Mkuu usilalamike sana,mbona hapa kila siku utasikia mwanamke ana sura ya babake simtaki au mwanamke hana tako mimi simtaki je kwan hao nao wamejiumba??
Haki iwe sawa, mwanamke asie na sura nzuri au tako hakujiumba na wanaume wafupi au warefu hawajajiumba nyie wanaume ndio wa kwanza kutoa kasoro za kimaumbile kwa wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhh wanaume wafup kwa percet kubwa wapo vzur, watafutaj sana na very caring... Hawapnd umariooo. Hata kma hawapendez (kwa mtazamo wko) but they are the best. Wafup[emoji7][emoji7][emoji7]
 
Acha Uzwazwa Suti haina mfupi Wala Mrefu, yeyote yule akiivaa ina mkaa smart
Mimi ni Mrefu inanikaa poa Sana na wapo wafupi inawakaa vzur pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…