Hivi kwanini wanawake wa siku hizi hawavai hizi nguo?

Hivi kwanini wanawake wa siku hizi hawavai hizi nguo?

Zilikua zinawapendeza ila kwa uchunguzi wangu nilioufanya ,nimegundua siku hizi hawazivai.
Shida nini wakuu?
Inategemea na aina ya nguo anayovaa mtu.
Nguo nyingine ni nzito sana, hakuna haja ya kuvaa undersketi

Zile zinazoangaza sasa ndio huwa tunavalia na hizo.


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Wamecha kuvaa under skirt kitambo sana, siku hizi hata nguo zenyewe hawavai tena... Wanatembea uchi...
 
Mambo yamebadilika siku hizi wanavaa mikato kama hii
IMG_1027.jpg

IMG_1028.jpg
 
Labda niliona wanawake wa Geita na Songea ndio wanavaa hizo underskirts
 
pia zinabana tumbo sana unakuwa unaumwa sana. bira kuvaa taiti hata hukumbuki umevaa.
 
Kuna jamaa yang mmoja enzi hzo alikuwa akiona huo ulesi lesi wa chini anapagawa hatari hadi anaweza kumwaga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Old was very crazy...
 
Siku hzi matiti ...matako ...tumbo..hipsi yanapigwa jeki...hiyo nguo haina ufanisi kama zile taiti wanazovaa siku hizi
 
Back
Top Bottom