Hivi kwanini wanawake wengi hawanaga nauli ukiwaita kwako?

Acha kusemea wenzio mkuu!
Mimi wa kwangu hana hizo tabia
 
Ngoja wakuje wasiokuja na nauli mkuu
 
Mimi nikimuita mwanamke huwa natenga nauli yake kabisa akiondoka namkabidhi, na kama nikiona sina hicho kiasi nilichopanga kumpa simuiti au nitamuambia tu ukweli kuwa sina hela saivi kama anakuja basi ajipange mwenyewe
 
Wazamani waliishi kizamani hawakua na distance love kama sasa,,kunihudumia mahitaji ndio uwanaume huo mkuu mim lazima unigharamie kama wajibu wako
Hahaha mtu yuko distance ya nauli buku unamwambia njoo home anataka nauli.Kiufupi ni kwamba hatukatai mwanamke lazima umtimizie majukumu ila wanawake muwe na aibu sometimes yaani kwa kua we ni mtu wangu basiii shida zako zote ziwe zangu afu zangu ziwe zangu...holly shiit...
 
Hahahaha wooii hilo jipu
 
Mimi nikimuita mwanamke huwa natenga nauli yake kabisa akiondoka namkabidhi, na kama nikiona sina hicho kiasi nilichopanga kumpa simuiti au nitamuambia tu ukweli kuwa sina hela saivi kama anakuja basi ajipange mwenyewe
Unajua sometmes unamuita labda unakuja kumpa hela au kitu chochote kizuri na kwa mtu mstaarabu na anaempenda mtu wake kweli lazima akiondoka utakadiria gharama za nauli aliyokuja nayo plus ya kurudi plus labda ya msosi na vocha n sort of...know what i mean ...!
 
Wanawake wa siku hizi mwanaume akiwa dhaifu kw kila unalomwambia ndo yuko sexxy n manhood hahahaha n bold
Na haiko hvo mkuu ila kwe majukumu ya kifedha uwajibike ndo unakua mwanaume haswa
 
Wazamani waliishi kizamani hawakua na distance love kama sasa,,kunihudumia mahitaji ndio uwanaume huo mkuu mim lazima unigharamie kama wajibu wako
Wanawakee mnapendaa kua tegemezii jamaniii, ndo maana hawaolewiii
 
Hiyo ipo mkuu lakini haiwezi kuwa wakati wote kwamba tukiitwa tutatoa nauli wenyew mda mwingi inabidi nyie mtupatie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…