Hivi kwanini wanawake wengi hawanaga nauli ukiwaita kwako?

Yan kama wamerogwa hivi kweli mtu uniambie nije kwako na nauli nijilipie looh,,so papuch nkuletee bure tu hiyo kitu Hamna,,wanaume nawaambia tena kila mwanamke ana chembe chembe hai za kupenda pesa hata mkeo wa ndani asikufmdanganye mwanamke yeyote kuwa hajakupendea pesa that's a big liar wanawake tumeumbwa kupenda pesa jamani msitushutumu
Acha kusemea wenzio mkuu!
Mimi wa kwangu hana hizo tabia
 
Mimi nikimuita mwanamke huwa natenga nauli yake kabisa akiondoka namkabidhi, na kama nikiona sina hicho kiasi nilichopanga kumpa simuiti au nitamuambia tu ukweli kuwa sina hela saivi kama anakuja basi ajipange mwenyewe
 
Wazamani waliishi kizamani hawakua na distance love kama sasa,,kunihudumia mahitaji ndio uwanaume huo mkuu mim lazima unigharamie kama wajibu wako
Hahaha mtu yuko distance ya nauli buku unamwambia njoo home anataka nauli.Kiufupi ni kwamba hatukatai mwanamke lazima umtimizie majukumu ila wanawake muwe na aibu sometimes yaani kwa kua we ni mtu wangu basiii shida zako zote ziwe zangu afu zangu ziwe zangu...holly shiit...
 
Hahahaha wooii hilo jipu
 
Mimi nikimuita mwanamke huwa natenga nauli yake kabisa akiondoka namkabidhi, na kama nikiona sina hicho kiasi nilichopanga kumpa simuiti au nitamuambia tu ukweli kuwa sina hela saivi kama anakuja basi ajipange mwenyewe
Unajua sometmes unamuita labda unakuja kumpa hela au kitu chochote kizuri na kwa mtu mstaarabu na anaempenda mtu wake kweli lazima akiondoka utakadiria gharama za nauli aliyokuja nayo plus ya kurudi plus labda ya msosi na vocha n sort of...know what i mean ...!
 
Wanawake wa siku hizi mwanaume akiwa dhaifu kw kila unalomwambia ndo yuko sexxy n manhood hahahaha n bold
Na haiko hvo mkuu ila kwe majukumu ya kifedha uwajibike ndo unakua mwanaume haswa
 
Wazamani waliishi kizamani hawakua na distance love kama sasa,,kunihudumia mahitaji ndio uwanaume huo mkuu mim lazima unigharamie kama wajibu wako
Wanawakee mnapendaa kua tegemezii jamaniii, ndo maana hawaolewiii
 
Unajua sometmes unamuita labda unakuja kumpa hela au kitu chochote kizuri na kwa mtu mstaarabu na anaempenda mtu wake kweli lazima akiondoka utakadiria gharama za nauli aliyokuja nayo plus ya kurudi plus labda ya msosi na vocha n sort of...know what i mean ...!
Hiyo ipo mkuu lakini haiwezi kuwa wakati wote kwamba tukiitwa tutatoa nauli wenyew mda mwingi inabidi nyie mtupatie
 
Back
Top Bottom