Hivi kwanini wasanii (mfano MC Pilipili) huuziwa magari bei juu kuliko watu wengine?

Kuna Mwanamuziki Mmoja aitwa Malaika,
Bwana wake anahusika na Kuagiza Magari na ndio wasanii wengi wa Bongo wanamtumia yeye kwa maana ya kwamba wanamuungisha "Shemeji" yao.

Pamoja an "Ushemeji" lakini Jamaa bei zake ziko juu sana na pia baadhi yao wamelalamika kutapeliwa nae.
 
Mkuu ni kaushamba flani tu kanawatafuna,

Au ni zile za kuletewa mlangoni,bw flani nimefulia nina kigari changu hiki hapa nipe mill 10 kitakufaa wewe msanii mkubwa bwana.

Kuna Benz,Volvo,Audi,ford nk.
 
Hahaa shem mbabaishaji.Dada etu naye anatumia gani??
 
BMW x3 bei yake CIF ni $ 7500. Kodi ya TRA ni 9 to 10 millions.So kama amenunua kwenye yadi hapa Dar ni sawa maana kuna hela ya aliyemuuzia
 
Yani ndio ananunua bmw x3 leo???? Yuko nyuma sana
lakwako liko wapi mkuu ? naomba kuwasilisha hoja ni hayo tu mkuu.Ukumbuke kuambatanisha risit zote,lakini na kapicha katapendezesha zaidi au vipi mkuu?
 
Huyo bwana yke na malaika ana showroom au wale wa biashara za mfukoni
 
Wenzio hadi ndala wananunua elfu thelathini, shilole alinunua gauni milioni kumi,,teh


Ukweli ni kwamba wananunua bei ya kawaida tu wanasema bei kubwa ili waonekane wako kistar na wanapesa,,hawana lolote
 
Huwa waongo hao wanaropoka hili waonekane wametumia pesa ndefu.....yale yale ya ommy dimpoz eti mark x ya mwaka 2005 kanunua mil.30
 
Kama wewe ukipata demu mpya wakati mimi nimemgonga miaka 5!
 
Ndo iyo gari anayo endesha msichana wake
Nicole!!?
 
Huwa ni washamba ndio maana wanapigwa, pia sijawahi kuona mgogo mjanja.....au le mbebizzzz wakuu.
 
Wasanii wengi ni malimbukeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…