Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
Nauliza tu...
Nauliza tu...
Kwa nini haujui?Nasikitika kusema kuwa sisi wabongo ni watu ambao tangu dunia imeumbwa au kutokea ulimwenguni hakuna kitu chochote kile ninachotaka kucomment hapa maana hata mimi sijui jibu la swali lako mkuu
Unauliza nini?Nauliza tu...
Kwani haujui kusoma?Unauliza nini?
Sijui kwa sababu akili yangu bado haijaaamka maana huku niliko bado ni alfajiri, sijui kwa sababu sijawahi kujua chochote kuhusu swali lakoKwa nini haujui?
Kusoma nini?Kwani haujui kusoma?
Kwani kimeandikwa nini?Kusoma nini?
Kwani nikijua kuna ubaya?we ulitakaje
Hakika.Dawa ya moto ni moto
ujue ili ikusaidie nini?Kwani nikijua kuna ubaya?
Upo nchi gani?Sijui kwa sababu akili yangu bado haijaaamka maana huku niliko bado ni alfajiri, sijui kwa sababu sijawahi kujua chochote kuhusu swali lako
Nina imani nimekujibu kwa urefu kabisa
Ahsante!
Kwani vitu vyote unavyovijua vinakusaidia?ujue ili ikusaidie nini?
Kwani sina haki ya kuuliza?Kwanza kwanini uulize?
vitu havikusaidii vyanini?Kwani vitu vyote unavyovijua vinakusaidia?
USAUpo nchi gani?