Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,647
- 23,282
ulikua unataka nini?Kwani nipo wapi?
ulikua unataka nini?Kwani nipo wapi?
Wewe unataka nini?ulikua unataka nini?
we unaweza nipa nikitaka?Wewe unataka nini?
Kwani unataka nini?we unaweza nipa nikitaka?
nitake nini kwako?Kwani unataka nini?
Kwani hakuna cha kutaka?nitake nini kwako?
Hata Yesu alikuwa akijibu kwa maswali!Nauliza tu...
Kwa nini badala ya kujibu swali unaleta habari za Yesu?Hata Yesu alikuwa akijibu kwa maswali!
Tuanze na jibu lako wewe ambaye umeuliza swali...!!Nauliza tu...
Kwa nini unigeuzie swali badala ya kunipa jibu?Tuanze na jibu lako wewe ambaye umeuliza swali...!!
Salt hujambo habari za wapi, huonekani JFLipi? 😂😂😂
Nipo bro sijambo kabisa, nachungulia chungulia.....Salt hujambo habari za wapi, huonekani JF
Wewe unaonaje?Wengi hujibu kwani vipi?