Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
- Thread starter
- #61
Ok unaonaje ukanijibu moja kwa moja?Swali lako lipo nje ya mada,
Au hata wewe mwenyewe umesha sahau mada yako inahusu nini?
Ok unaonaje ukanijibu moja kwa moja?Swali lako lipo nje ya mada,
Au hata wewe mwenyewe umesha sahau mada yako inahusu nini?
Inawezekanaje watu wote wakawa hivyo?Uwezo mdogo wa kuchanganua mambo.
Wamekuzwa kuwa hivyo.Inawezekanaje watu wote wakawa hivyo?
Lakini hauoni kama wengine ni viburi tu?Inategemeana kuna simple qns na trick qn. Kama ni simple atakujibu dietct kama ni trick qn tegemea kuulizwa swali au kupewa majibu tofauti na ulichouliza
Viburi vipo maana wengine huuliza rhetoric qn kama mimi hapa na ishakuwa tabia yangu hadi nawakera watuLakini hauoni kama wengine ni viburi tu?
Huoni kama unachosha?Swali gani???
Sioni.Ok unaonaje ukanijibu moja kwa moja?
Nimesoma ndio nakuuliza, nikiulizwa swali gani?Kwani kusoma haujui mkuu?
😂😂😂😂 Simu zangu mbona hapokei lakini....au nazo hauoni???Sioni.
Nilikua nawakatia N'gombe majani,si unajua kua tajiri yangu ni mkorofi,😂😂😂😂 Simu zangu mbona hapokei lakini....au nazo hauoni???
Kwani hili nililouliza hapa umejibu?Nimesoma ndio nakuuliza, nikiulizwa swali gani?
Lipi? 😂😂😂Kwani hili nililouliza hapa umejibu?
Kwa nini nini?Kwanini 😁
Kwani swali la kwanza kuuliza huko juu lilikuwa ni nini?Lipi? 😂😂😂
Juu wapi broKwani swali la kwanza kuuliza huko juu lilikuwa ni nini?
Wabongo wa wapNauliza tu...
wana asiliya ubishi; wakiulizwa swali wanataka walibadilishe kuwa ubishiNauliza tu...