Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Wewe unazionaje?Mkuu wewe unazionaje akili za wabongo?
Wewe unazionaje?Mkuu wewe unazionaje akili za wabongo?
Kwani umeuliza nnSasa unataka nikujibu nini?
Maswali yote na kama ulikuwa hujui ni kipimo cha IQKwa hiyo ni swali moja tu ndio unajibu directly?
Unauliza akili zao kwenye jambo gani?Mkuu wewe unazionaje akili za wabongo?
Kuna namna nyingi za kujibu maswali, mojawapo ni swali kwa swali.Nauliza tu...
Umeamua umvunjie barafuUnauliza akili zao kwenye jambo gani?
Kwa nini usijibu swali kisha ndio uulize swali lako?Wewe unazionaje?
Hujasoma title ya uzi?Kwani umeuliza nn
Safi sana sasa unaonaje ukanisaidia majibu ya swali nililouliza?Maswali yote na kama ulikuwa hujui ni kipimo cha IQ
Kwani hapa tunaongelea jambo gani?Unauliza akili zao kwenye jambo gani?
Sawa lakini wewe huoni kama wabongo wamezidisha?Kuna namna nyingi za kujibu maswali, mojawapo ni swali kwa swali.
Na wale ambao wanakuwa wanajua lakini wanauliza swali unadhanj ni nini kinawasumbua?Anakuwa hajui
Swali lako lipo nje ya mada,Kwani hapa tunaongelea jambo gani?
Kwani kusoma haujui mkuu?Swali gani?
Uwezo mdogo wa kuchanganua mambo.Nauliza tu...
Inategemeana kuna simple qns na trick qn. Kama ni simple atakujibu dietct kama ni trick qn tegemea kuulizwa swali au kupewa majibu tofauti na ulichoulizaSafi sana sasa unaonaje ukanisaidia majibu ya swali nililouliza?