Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
- Thread starter
- #81
Huoni tatizo hapo mzee wa CCM?tatizo liko wapi
Huoni tatizo hapo mzee wa CCM?tatizo liko wapi
Kwani wabongo wanakuwa wa wapi?Wabongo wa wap
Au hutaki juu unapenda chini?Juu wapi bro
Kwani kuna sehemu pameandikwa kwamba kiwango fulani ndio inatosha kuuliza, ukizidi hapo unakosea?Sawa lakini wewe huoni kama wabongo wamezidisha?
Lakini si ni vyema tukaweka balance?Kwani kuna sehemu pameandikwa kwamba kiwango fulani ndio inatosha kuuliza, ukizidi hapo unakosea?
Hiyo balance unaiweka kwa kupima na vigezo ganiLakini si ni vyema tukaweka balance?
Kwani wewe huvijui?Hiyo balance unaiweka kwa kupima na vigezo gani
Lakini mbona kama wabongo wamezidi?Ni Moja ya njia ya kujibu swali. Maana Kuna kujibu swali Kwa swali hususani pale unapotaka muuliza swali akumbuke au arejee ktk hoja.
Kweli?Nimezunguka dunia, ulaya na marekani
Sijawahi kukutana na wabongo wanaofanyakzi kama wataalamu kutoka Tanzania
Kumejaa wakenya, waganda, wahindi na wazimbabwe na wote sio raia na bado wanapaspoti za nchi zao, ila wafanyakazi kama madaktari, manesi na engineer
Elimu ya NACTE ilimeharibiwa sana na wagalatia kwa kujipasisha kwa majina, na walivyoshtukiwa, siku hizi wanapasisha kwa kanda, kama wewe mgalatia umesomea Tanga au Pwani, wanakula kichwa na kuwapa wa Kilimanjaro na Mbeya
Ni kweli, Kuna namna Wabongo tunapitiliza sanaLakini mbona kama wabongo wamezidi?
we dhambi unaijua?Kwani kuomba ushauri ni dhambi?
Kwa nini nisiijue?we dhambi unaijua?
unaijulia wapi?Kwa nini nisiijue?
Nani kakwambia?Nauliza tu...
Kwani nipo wapi?unaijulia wapi?
Kwani mimi sio mbongo?Nani kakwambia?
Kwanini unauliza?Nauliza tu...
We unahisi kwa nini?Kwanini unauliza?