Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Hapa namaanisha kwamba.
Unakuta mtu anamikono na miguu na ana afya njema kabisa, lakini mtu huyo anatoka kwenda kusugua makoti kwenye nyumba ya ibada ili tu amuombe Mungu amshushie rizki, sasa.... unawezaje kupata rizki kama haufanyi kazi?
Huu ni mfano wa kwanza, lakini kuna midano miiingi inayo banana na hii inayo nifanya nirudi kwenye swali la msingi kwamba.
WHY AFRICANS ARE PRAYING FOR WHAT THEY CAN WORK FORE...??