Hivi kwanini watanzania wengi wanapenda kuombea ama kusali kwa kitu wanachoweza kukifanyia kazi?

Hivi kwanini watanzania wengi wanapenda kuombea ama kusali kwa kitu wanachoweza kukifanyia kazi?

Serikali zetu za Africa zingeacha ufisadi na kuwaza mipango ya maendeleo na malengo ya kuwakwamua wananchi kiuchumi, maombi mengine ya kipumbavu yangepungua.


Nafikri wafuasi wa hizi imani wangekua wanashukuru zaidi, kuliko kuwa omba omba.
 
Siku moja nikaenda kwa Mwamposa hapo viwanja vya Furaisha.
Nikasikia akisema Nyanyueni Simu Juu aziombee hela ziingie. Baadae watu wakaanza kutoa ushuhuda jinsi hela zilivyoingia kwenye simu wakati anaomba

Nikakasirika nikaondoka
Acha basi 🤣🤣
 
Back
Top Bottom