Hivi kwanini watu humu wanajiita majina ya ajabu?

Mimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.

Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?

Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
Umeokoka halafu kwenye simu umejaza pichq za ngono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…