Hadithi yako imenisikitisha sanaππMimi naitwa Nomadix kazi yangu ni kilimo Mashamba Makubwa Nalima kuna wakati hii kazi inakuwa Mkanganyiko kukanganya lakini sikati tamaa najua Tamaa Mbele inaleta umaskini, Sa 7 mchana huwa nakula ugalimaharage
πππHuyu akifika mbinguni mniite mbwa nimekaa paleeee ππππππ
Leo kasema hasikitikiππ
Kwa wanawake mpaka anafika hatua anasema kaokoka, basi alikuwa mBy the wayAaah! Hapo sawa
Hongera kwa kuokoka! Hayo ni maamuzi Bora uliyofanya kwenye maisha yako.
Biblia inasema; Neno la wokovu kwetu sisi tunaoamini ni nguvu ya Mungu, Bali kwa wale wasioamini ni UPUUZI.
Kamwe lofa yoyote asikufanye, ukauchukulia wokovu wako kizembe!
Kulia wokovu Mama ... Bwana anawajua walio wake
Hatutaki usaliti, kila mtu akae na mtu wake wanaokulana wasije kuachana afu sisi tusiojua lolote tukavamia majangaWatu hampendi amani kabisa humuππ
Uwiiiiππππ hatari sanaImagine cheti cha ndoa kinasoma Mpaji Mungu Vs Binti Sayuni03
Laini zt zimeshatumika ndio wanajidai wameokokaa πKwa wanawake mpaka anafika hatua anasema kaokoka, basi alikuwa malaya.
Hakuna dhambi nyingine kwa mwanamke
Haya mambo yanasikitisha sana wakuu πLeo kasema hasikitikiππ
Ni vema na haki...tusijuane...maana hukawahi kuniomba ya vocha...Basi hatujuani
Heri huyo anakuwa anajinenea mema kuliko wengine wanaojiita shetaniKuna mmoja anajiita Tajiri wa Kusini huku hana utajiri huo
Nimelia sanaπππHaya mambo yanasikitisha sana wakuu π
Ili iweje heeeNi vema na haki...tusijuane...maana hukawahi kuniomba ya vocha...
Laini gani tena hizo mkuuLaini zt zimeshatumika ndio wanajidai wameokokaa π
Safi sana hivyo ndiyo inavyotakiwa, ilq humu kuna vijana siyo wastaarabu wanatongoza hata wanawake wanne kwenye uzi mmojaHatutaki usaliti, kila mtu akae na mtu wake wanaokulana wasije kuachana afu sisi tusiojua lolote tukavamia majanga
kuna mmoja anajiita IbilisiHeri huyo anakuwa anajinenea mema kuliko wengine wanaojiita shetani