Hivi kwanini watu wapole wako hivi?


Ni kweli kabisa, hata mi very selective hata sijui kwanini. Kiufupi inanichukua muda kumpenda mtu
 
Mmoja wapo mim nina ulemavu moyon wa kudumu kisa niliyofanyiwa na huyo mpole[emoji21]
 
Mmoja wapo mim nina ulemavu moyon wa kudumu kisa niliyofanyiwa na huyo mpole[emoji21]
pole sana bibie, maisha lazima yaendelee,

Huo ulemavu uwe ni ukumbusho wa kutokurudia kosa!

We are living in a crazy world!

God bless you!
 
Kwa maelezo yako yawezekana una maanisha wakimya hapa.
 
Ila kwelii wapole sioo mimi ni mpolee na mkimyaa sana. Ni mtu naweza kaa ndani siku nzimaa na nikawa happy kabisa.

Na jamii huwa inaniona kama jamaa flanii mpole sana mtu wa dini mtakatifuu.

Mtu asie kuwa na skendo za hapa na pale hasa kwa mademu. Ila behind the scene ni hatarii yanii type zote twendee, popote napitaa. Na anae jua ni mtu wa karibu best friend yangu.
 
Wanaume wengi huingia mkenge pale wanapoona mwanamke mkimya na kumuoa sasa mwanamke akishaingia ndani anaanza kutoa makucha yote nje [emoji108][emoji108]

Hakuna cha upole wala zaidi ya ukimya!
 
Mkuu mbona nyundo nzito hivi kama ya mawe vile[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanamatukio ya ajabu mnoo...unaweza bishana na malaika kwa kumtetea mtu mpole

[emoji28][emoji28]upole wao unanivutiaga ni kinyama.sipend mtu anaeongea sana[emoji85]
Alaah[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…