Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,259
- 2,971
Tuna maono ya mbele sanaa, hapa kuna ambae ashaachwa baada ya kuona sifiki nae mbali kabakia kuomba msamaha ila mimi hapana kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina experience mbaya na watu wapole!
Ama kweli usione ukadhani!
Huwa wanajifanya kuwa wanaogopa kuumizwa lkn behnd the scene ni dracula!
Ushangao utakaoupata ukiyajua ya nyuma ya pazia yanaweza kuupa moyo wako ulemavu wa kudumu!
Be ware!
A word is eneogh for the wise!
Ila inasemekana mna piga matukio ya kushangaza ulimwengu asee😄😄
Umafia wao hauelezek...
Mkuu, naona umechanganya wapole na wakimya...[emoji848][emoji848]
Hata sijielewi Kama ni mpole au mkimyaNa ww ni mpole mkuu??😳
Ngoja nipiteWasalaam wakuu.
Nimekuwa na ukaribu sana na watu wenye hulka ya upole,
Jinsia zote wa kike na wa kiume.
Ila hawa watu wapole wapo selective sana kwenye masuala ya kuchagua wenza au wapenzi wao.
Je,hii inachangiwa na wao kuogopa kuumizwa au? Maana anaweza kuingia kwenye mahusiano na akadumu kwa wiki tu,
Ukimuuliza anakwambia ameona hayo mahusiano hayatafika mbali.
Hebu tusaidiane hapa wakuu.
Aah!huko hapna mkuu,m n hawa madem tu,yaan nkiona dalil za ujanja ujanja napiga tu chin maan naijua reaction yangu kwa dem anaenidanganyaHyo safi mkuu,
Ila mnalalamikiwa sana kwa kupiga watu matukio